kimyakya mbwele
Senior Member
- Oct 15, 2007
- 144
- 292
Yaani huwa kila siku nasema , ningekuwa na mtoto anasoma ningegombana sana na walimu kuhusu tuition za jioni na weekend za hapa DSM.
Haiwezekani mwanafunzi wa primary awe busy kuliko hata wanachuo
Wanachoka mno kwa kweli....maana hata likizo ndefu kama hii bado wapo tuition siku nzima.
Daah! Hili sijui nani atatunasua utoto umekuwa mateso zama hizi tofauti na zamaniShule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.
Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani
Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza extracurricular skills Mtoto acheze mpira na watoto wenzake mtaani nje ya shuleni .,
mtoto apate muda wa kujifunza kuimba iwe kwaya kanisani ya watoto ama kujifunza kupiga vyombo vya muziki kama kinanda, saxophone, drums etc, mtoto apate muda wa kujifunza kuigiza mtaani,
kama kuna waigizaji unaishi nao jirani waombe ama walipe wawafundishe wanao kuigiza mapema.
Mtoto ajifunze kupika, kupamba, kuongea mbele za watu wengi. Hivi vitu vitamsaidia kuliko masomo ya shuleni .
Jiulize why International school of Tanganyika watoto wanatoka saa saba tu mchana?
Jiulize why nchi zilizoendelea shule zao watoto wanatoka shuleni mapema?
UKWELI MCHUNGU ZAMA HIZI MAISHA YAMEBADILIKA SANA. ELIMU HAITAMSAIDIA MTOTO WAKO KWENYE FURSA ZA KIMAISHA KAMA HAJUI VITU KAMA NILIVYOVITAJA NA VINGINE VINGI
Huu ni utaratibu mzuri sana.Huku finland masomo yanaanza saa tatu asubuhi yanaisha saa nane mchana. Na hakuna kutoa homeworks. Mtoto anaenda nyumbani kupumzika.
Kwani Huko shule nako kupo salama ?Huko mtaani mnapotaka watoto wakachangamane kupo salama?
Sema watu wa zamani mnajipaga maujiko sana ,ππππ mngekuwa kweli mna hizo skills mnazodai mnazo nchi hii isingelia ukosefu wa ajira na pia wengi wenu mngekuwa na maisha ya juu kiuchumi, ila hamna kitu,Nakubaliana nawe π―, watoto lazima wawe na muda wa kujifunza stadi za maisha au life skills. Sisi watoto wa zamani tunajua vitu vingi, hata nikikosa ajira najua kulima, kufuma vitambaa, kuimba, kusuka etc, sitakosa shughuli ya kufanya. Mtoto wa sasa hv hajui hata unga wa ugali unapatikanaje? Hata mashine ya kukoboa na kusaga hajawai kuiona, hatari sana. Wakirudi home wako hoiii, homework,kulala duu, hatari sana kwa taifa la kesho
Ni kweli shule hakuko salama 100% ila ukicompare na mtaani, shuleni ni salama sanaaaaaa,Kwani Huko shule nako kupo salama ?
Kuna matukio kibao ya watoto kulawitiana mashuleni vyooni,na unafahamu matukio haya.
Juzi kati tu hapa kuna Nchi siikumbuki watoto wamemnyanyasa mwenzao kingono SHULENI na kumuingiza vijiti mpaka akazimia,je unadhani shule pia ni salama sio ?
kama ishu ni usalama wa mtoto basi tuwafungie ndani tu wasiende popote.
Tunataka afya ya akili ya mtoto huku tukiwafundisha namna ya kujikinga na hatari.
Hakuna pahala salama kwa 100%.
USalama wa kweli sio kuondoa mambo hatari,bali ni kuundaa mwili na akili kuwa na skills za kukabiliana na hatari hizo.
Hatari haziishi duniani.
Sawa tuondoe tunazoziweza ila zipo ambazo zitakuja automatically hata uzuie vipi.
Tuwaandae watoto wetu
Ila hili ni tatizo la wazazi, ukiamua kukataa unakataa na hawatakufanya kituWanachoka mno kwa kweli....maana hata likizo ndefu kama hii bado wapo tuition siku nzima.
kwa ambao wana wake wa nyumbani na ndugu waaminifu muda wote hawa ndio idadi kubwa ya watz ilipo.Ni kweli shule hakuko salama 100% ila ukicompare na mtaani, shuleni ni salama sanaaaaaa,
Mnataka watoto wawahi kurudi wakati huo hup wazazi mnarudi home saa 1-3 usiku, watoto wakae alone saa 10-3 usiku, π€ wengi wataharibikiwa
Feza, Agakhan, Braeburn,hopac,IST,ISM, hawana huo upuuzi.Shule ndio zinalazimisha tuisheni ili zipate faida ya pesa zaidi
Kulinda mtoto ni jukumu la mzaziSerikali haina misimamo kulinda watoto na future yao.
Mtaala mpya unasema mtoto asome kwa siku masaa 3 pekee kwa wanafunzi wa darasa la 4 kushuka chiniHuku finland masomo yanaanza saa tatu asubuhi yanaisha saa nane mchana. Na hakuna kutoa homeworks. Mtoto anaenda nyumbani kupumzika.
Maisha yamebadilika kila nyanja! Wee mwachieachie mtoto wako ajichanganye eti kumjengea kujiamini sijui mambo gani mwisho wa siku atakuja kaishatolewa marinda, mimba, bangi, matusi! Umri wa mtoto mpaka miaka 18 ni shule! Hayo ya mtaani ajifunze akiwa kaishajitambua!Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.