A
Anonymous
Guest
Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje.
Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa.
Naomba ujumbe huu labda Serikali itaona namna ya kuisaidia hii shule.
Pia soma
~ Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya
~ Serikali yalalamikiwa, hali mbaya katika Shule ya Msingi Mbosho Wilayani Hai