Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

hata oysterbay mpeleke

Ukiangalia matokeo ya olympio oystabay
Wastani wa ufaulu wao, please.


Huu hapa
Screenshot_20220117-092749.jpg


Kule kwa private englishmedium nako kuna haya
Screenshot_20220117-092928.jpg
 
Ziwee tano tano mkuu.
Ila navyojua like 100yrs to come itakuwa ni full English.
Mie nilipenda hata apitie hizi kayumba sema Sasa naona akijua English Kuna maarifa mengi Sana anaweza akawa anajifunza even komputa iko full english.yaani ukijua English afu una uwezo wa kusoma unajifunza Mambo mengi Sana..so napenda English Ila sio kuwa nazikubali private. Ni Bora niajili mwalimu anakuja nyumbani anamfundisha mwanangu namlipa hata laki 2.
Kuliko hiyo hela kuipeleka private. Mana mie nitakuwa namuendesha huyo mwalimu.afu mwanangu jina lipo kayumba Nampa headteacher like 50k anakuwa haendi shule ilimradi anaenda kuifanya mitihani basi.
Ama hata private namiliki jina Ila kusoma anasomea nyumbani.shule anaenda kimachame Sana
Shule ni mfumo ni zaidi ya kusoma na kuandika
Anapokuwa shule kuna mambo mengi anafaidika nayo kuliko mtoto kumfungia nyumbani tu
 
Ni sawa kabisa walivyofanya!kwani hao wazazi Hawajui ya kwamba hiyo shule Ni ya kulipia japo Ni ya serikali?Kama wanajua Hilo kwa nini hawakulipa?
 
Back
Top Bottom