Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
It's a matrix kila kitu kimepangiliwa na washika rimoti.........kutoka humo kwa wengi ngumuNdipo dunia ilipofika wazazi tuna kazi ya ziada,nina jirani yangu shehe namna anavyolea watoto wake naona hakuna shida kuanzia mavazi,mpaka tabia kama watakuwa na ziada basi kwa siri sana sasa sisi wengine sio kipaumbele chetu mtoto anavaa anavyojisikia kusema tunajiona kama tumepitwa na wakati,haki za mtoto ndio tumefika hapo leo