Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

Kufaulu au kufeli inategemea maisha yake mwishoni atakuja kua mtu gani,,hizi tabia kwa wengine zinakua za muda tu ndo maana kuna wengine phase ya shuleni anaweza kufeli ila baadae maisha akayapeleka vizuri tu.....na vice versa
Understood.
 
Sisi toto la nyumbani limejizimia simu tuhesabu tu maumivu

Ni kumpeleka shamba tu ajifunze maisha
 
Na vitoto vinajua mapenzi viko uswahilini
 
Ndipo dunia ilipofika wazazi tuna kazi ya ziada,nina jirani yangu shehe namna anavyolea watoto wake naona hakuna shida kuanzia mavazi,mpaka tabia kama watakuwa na ziada basi kwa siri sana sasa sisi wengine sio kipaumbele chetu mtoto anavaa anavyojisikia kusema tunajiona kama tumepitwa na wakati,haki za mtoto ndio tumefika hapo leo
Acha kufatilia familia yangu kijana ntakutupia jini la kuwa mwana ccm sasahiv
 
Gene
agnitude ya tatizo inatofautiana ! Kwingine ni kidogo sana kwingine hali ni mbaya zaidi.
Generation ya Sasa(1997-2005) kukupa uchi ni kitu rahisi Sana kwao,kote nchini
 
Asilimia kubwa ya shule za Temeke tatizo ni hilo hilo. Hii inatokana na mazingira
Cheki matokeo ya shule kama
Taifa
Uhamiaji
Diplomasia
 
Back
Top Bottom