Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Uongozi upo head mistress anabidi afanye Jambo .
Mimi nilikuwa hapo miezi 4 umalaya na uvutaji wa bangi kwa watoto wa kiume unatisha Sana au muulize HAYA LAND alituambia lazima wapate zero 100+
In short lile eneo ni hatari tangu enzi hakuna ukuta kwenye eneo la Vetenary vile viunga ndio vilikuwa vinaongoza kwa wavuta bangi na ukabaji, watu wa mitaa ile wengi walikuwa ni wazee wa ndole wezi wa kwenye daladala…
Kuna miaka statistics za HIV wilaya Temeke zilikuwa kubwa kutoka eneo lile,kuanzia Tazara magorofani, njoo mpaka kona ya Mwembe yanga, nenda mpaka Yombo darajani, fika mpaka ABC njoo reli kwa reli mpaka Taa nyekundu…. Hilo eneo la kati si salama kwa makuzi ya mtoto…