Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

It's a matrix kila kitu kimepangiliwa na washika rimoti.........kutoka humo kwa wengi ngumu
 
Kwa nini wasiwachape ilhali wamekosea? Lazima wachapwe tu! Mama hana mambo hayo

kila mtu ashinde mechi zake.


Unawachapa leo kesho unasagiwa kukuni unabaki unaisoma namba wewe na familia yako tu.
Walimu wameshakubaliana kazi yao ni kufundisha ila masuala ya nidhamu kila mzazi amshughulikie mwanae nyumbani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…