kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Unaisoma namba kivipi? Kwa kuwachapa mabinti makahaba?kila mtu ashinde mechi zake.
Unawachapa leo kesho unasagiwa kukuni unabaki unaisoma namba wewe na familia yako tu.
Walimu wameshakubaliana kazi yao ni kufundisha ila masuala ya nidhamu kila mzazi amshughulikie mwanae nyumbani kwao
Ukiwa na maana ipi mkuu? Na ipo wapi hiyo mitaa kwa hapa DSM?Mitaa ya Taa nyekundu hiyo
Ipo karibu na hiyo shuleUkiwa na maana ipi mkuu? Na ipo wapi hiyo mitaa kwa hapa DSM?
Anaogopa kupewa kesi Mkuu , ukimchapa ni hatari Serikali inatoa machoUnaisoma namba kivipi? Kwa kuwachapa mabinti makahaba?
Na ndipo wanafunzi wa kike wanapouzia miili yao?Ipo karibu na hiyo shule
Temeke secondary hipo karibu na Tazara hapo relini.Ukiwa na maana ipi mkuu? Na ipo wapi hiyo mitaa kwa hapa DSM?
Kesi ipi hiyo? Hebu nyoosha maelezo ongea kisomiAnaogopa kupewa kesi Mkuu , ukimchapa ni hatari Serikali inatoa macho
Watoto wanauza uchi Sana Tena watoto wenyewe wafupi Kweli Kweli ili Jambo linafikirisha Sana Mkuu.Na ndipo wanafunzi wa kike wanapouzia miili yao?
Na je tabia anayoirithi inaweza kuwa chachu ya kufaulu kwake au kufail kwake ukiachana na sababu ya kimazingira kuchangia????Tabia za wazazi na mazingira anayokulia
Leo nitakwenda kujionea ndugu. Si ipo karibu na Mabibo Relini au karibu zaidi na Mwananchi eeh?Watoto wanauza uchi Sana Tena watoto wenyewe wafupi Kweli Kweli ili Jambo linafikirisha Sana Mkuu.
Na je, hao wauzaji siyo malaya tu from nowhere wanaojifanya wanafunzi ilhali siyo wanafunzi? You never know. Malaya ni waongo mno sometimes ili waonekane wanasoma.Watoto wanauza uchi Sana Tena watoto wenyewe wafupi Kweli Kweli ili Jambo linafikirisha Sana Mkuu.
Watajua wenyewe sisi tupo bize na mikutano ya hadharaAisee nimepata taarifa ya hii shule kwakweli inasikitisha sana. Sijui kama ina uongozi
Sasa jamaa si kila siku 'ana-sherehesha"; anafundisha saa ngapi? Na kuandaa masomo saa ngapi??Garab ndo Ticha hapo Lazima waangukie pua
GaraB alikuwa mwalimu wa Pendamoyo sekondary iliyopo kule Sokota karibia na shule ya msingi TemekeGarab ndo Ticha hapo Lazima waangukie pua
Mkuu unataka umpe "Offer" ya maji ya dhahabu ya "ilala" au "Chang'ombe"?Wewe mleta mada njoo hapa KANANGO BAR au IBRA PUB tuyajenge kidogo namna ya kuwakomboa hao watoto
Hiyo ni kazi ya mzazi/mlezi.Unaisoma namba kivipi? Kwa kuwachapa mabinti makahaba?
Kufaulu au kufeli inategemea maisha yake mwishoni atakuja kua mtu gani,,hizi tabia kwa wengine zinakua za muda tu ndo maana kuna wengine phase ya shuleni anaweza kufeli ila baadae maisha akayapeleka vizuri tu.....na vice versaNa je tabia anayoirithi inaweza kuwa chachu ya kufaulu kwake au kufail kwake ukiachana na sababu ya kimazingira kuchangia????
Unafahamu hiyo shule ya Temeke Sec ilipo?Hiyo ni kazi ya mzazi/mlezi.
Kazi ya mwalimu ni kufundisha, asipofanya hivyo ashughulikiwe ila kuhusu kuchapa HAPANA.
Kumbuka hata huyo mwalimu ana watoto hivyo ata deal na watoto wake wawe na nidhamu kama ambavyo wazazi wengine wanavyo deal na wanao kwao.
Kuna matukio mengi ya walimu kutukanwa, kusimamishwa kazi, kupelekwa mahakamani na kupita kwenye tanuru la moto kisa kuchapa watoto, wakati angeachana nao asingepungukiwa chochote.
Kuna walimu hawachapi hata kama mtoto amefanya kosa kubwa kiasi gani. Mwalimu wa aina hii anaishi vema na kibarua chake kiko salama.
Unawachapa ila likitokea la kutokea kwa bahati mbaya unabaki pekee yako waliokuwa wanakusifia kuwa unawapa wanafunzi nidhamu wanakukimbia.
Kujiepusha na yote hayo mwalimu fundisha kwa bidii ila usichape mtoto wa mtu.
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Ndio.Unafahamu hiyo shule ya Temeke Sec ilipo?