Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Ngoja nikuache upumzike, usije ukashindwa kumhudumia mumeo leo sababu ya stress. Bye!
 
Hahaha! Pole dada. Umeandika mwenyewe kuwa hayo mambo yapo halafu unajifanya kucover up kuwa hakuna ushahidi. Ulikuwa na sababu gani ya kuandika hivyo? Kaiombe shule msamaha haraka.
Pole iso charting zilikuwa za siku MOJA unacheka ILA najua unavyoumia baada ya kuukutia uzi katikati na ukijawa mihemko pole sana nimekugonga nyuma na mbele na huna ushahidi ila ninao ushahidi itoshe tu kusema pole
 
Leo utahadhia wenzako huko nimehaibika vbaya kujiona mjanja kumbe ni tahira. Mpe pole mama YAKO mzazi KWA kuzaa tahira najua inachoma ILA vumilia
 
Shule za kata zenyewe tumekubaliana watoto wetu kidato cha nne waendelee na masomo. Na tunachanga elfu 20 kila mmoja
 
Ukinizushia uongo wa kuchafua shule halafu uje DM sijibu wapumbavu huko ni kujipendekeza itoshe kusema tu uache shobo tafuta wapumbavu wenzako
Huko nimekuambia yaishe. Sijafuta kuwa umeituhumu shule bila ushahidi. Umeidhalilisha na umedhalilisha kanisa kuwa wote hawajui kulea. Itabaki kuwa hivyo. Na hii ni comment yangu ya mwisho kwako. Kwaheri.
 
Mkuu hili suala la watoto kuzuiwa shuleni lipo kila mahali. Hapa nilipo kuna shule moja ya msingi inayomilikiwa na serikali ambayo uongozi wa shule umewazuia wanafunzi wa drs 7 na 6 kufunga shule. Wanafunzi hao wamelazimishwa kuendelea na masomo huku wazazi wakitakiwa kuchangia ada ya masomo ya ziada.

Tatizo hili nimeripoti Wizara ya Elimu kupitia akaunti za twitter na instagram lakini hadi sasa wamekaa kimya bila kutoa tamko lolote. Nchi hii ni ya kipuuzi sana aisee!
 
Huko nimekuambia yaishe. Sijafuta kuwa umeituhumu shule bila ushahidi. Umeidhalilisha na umedhalilisha kanisa kuwa wote hawajui kulea. Itabaki kuwa hivyo. Na hii ni comment yangu ya mwisho kwako. Kwaheri.
Ndo nimekuambia punguza shobo, nimekugonga kotokote leo ulitegemea kunifata PM ningekujibu sijibu wapumbavu na matahira kama wewe unayeshindwa kusoma, pumzika nadhani dozi uliyopata inakutosha ukitaka kunywa sumu
 
Shule za kata zenyewe tumekubaliana watoto wetu kidato cha nne waendelee na masomo. Na tunachanga elfu 20 kila mmoja
Wewe unakiuka maagizo ya serikali inayokataza michango ya aina yoyote kwenye shule za umma. Acheni kuendekeza ujinga.
 
Bila shaka huna mtoto anayesoma shule za umma.
Michango ipo kuanzia awali hadi form six
Basi nchi hii ni ya kipumbavu sana. Wanakataa kupokea michango kwa mkono wa kulia, wanapokea kwa mkono wa kushoto. Wapuuzi wakubwa!
 
Hoja yako ni nini hapa mkuu?
Kufukuzwa kwa sister, kufukuzwa kwa walimu,suala la usagaji, kuajiliwa kwa walimu vijana, kuzuiwa wanafunzi kufunga shule ama?

Naona kama unajichanganya, kama ni usagaji, pindi wakirudi kutoka likizo kama unavyotaka je usagaji utakuwa umekwisha?

Je? Kama asingefukuzwa sister pamoja na walimu wengine usagaji usingetokea? Je huko kwenye tuition unakotaka waende utakuwa na control ya movement zao na vipi huko usagaji haupo mitaani?

Unaamini kwenye tuition kuliko Taaluma ya sasa hapo shuleni kwenu. Kwa nini usiwashauri na wazazi wenzio ili msomeshe watoto wenu kwa mfumo huria wa tuition ili wafanye mtihani kama private candidate?

Mtoto ni wako na wewe una uamzi wa mwisho juu ya hatima ya mwanao, kwa nini usimuchukue mwanao ili uende naye kule unaporidhika nako?

Maswali ni mengi.......

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
wanataka kuwapa ile twisheni nyingine hizi shule ya masista ni janga kwa watoto wetu, wawaache watoto waende likizo kwa wazazi wao
 
Mkuu usijipe uhakika hivyo na taasisi inayo simamiwa na binadamu.
Unamjua mtu maarufu sana ndani ya kanisa Katoliki Father (Priest) Marcial Maciel?
Alikuwa anawafanya nini watoto wadogo kwenye hizo shule za seminari za kanisa katoliki?
Kama haumjui tafadhali tafuta taarifa zake mtandaoni.

Tatizo hapo linakuwa siyo kanisa katoliki bali tabia binafsi za mtu mmoja mmoja ndani ya taasisi.
 
kwenye maswali yako kuna jambo kuu hujalijibu.
hujakanusha wepo wa tuhuma za nilizozisema , badala yake umekimbilia kunishambulia , dawa ya hili swala ni uongozi wa shule kuweka walimu sahihi na kuzingatia maadili , nachelea kutoa taarifa nyingi maana itakua ni total destruction ya hii shule , najua vingi kuliko kawaida. Sitaki kusema zaidi maana italichafua sana kanisa kimalezi ya shule ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…