Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Yupo Comrade Hamis Kagasheki😂
Bukoba kuna waislamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Comrade Hamis Kagasheki😂
Bukoba kuna waislamu?
Asante sanaSijaona ubaya wa hii barua, kwani kuna ubaya gani kujua idadi ya wanafunzi na walimu wa dini ya kiislamu katika shule za msingi na sekondari ili taasisi husika zipate kujua kuwa kuna uwiano wa kutosha au kutahitajika walimu wa ziada ili watoto wa kiislamu wapate mafundisho ya dini yao kwa uhakika. Mimi ningeomba zoezi hilo lifanywe nchi nzima ili taasisi kama Bakwata ipate kutayarisha walimu na masomo yenye tija kwa watoto wa kiislamu, masomo ya dini kwa watoto wa kiislamu yamekuwa ni mtihani kutokana na wanafunzi kutumia muda mwingi kwenye elimu ya sekula, bora vijana wafuatwe hukohuko mashuleni ili wapate somo la dini japo mara moja kwa wiki.
Can you confirm...🤔Sio kweli, haiwezi kuwa kweli
Sio kweli, haiwezi kuwa kweli
Tanzania Haina usawa,Kuna gepu kubwa sana Kati ya walionacho na wasionacho.
Ninaamini Kuna jambo linapikwa kupitia udini,na muungano.
Haya mawingu ni mosh utakao chini.
Acha uwake tu.
ImesitishwaKabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Kumbe ilikuwa kweli!Imesitishwa
Hii kitu ilitakiwa kuwa na utangulizi ili watu wafahamu lengo lake kama ulivyoelezaWanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.
Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?
Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
Hiki kibali kimeshatenguliwa leo. Hivyo, hilo zoezi halitafanyika.Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Acha upuuzi... Hujui Kagera wewe!.😂
Bukoba kuna waislamu?
Shukrani Kwa ufafanuzi.Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.
Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?
Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
Wengi kuliko kishumundu kwenu arawa😂
Bukoba kuna waislamu?
Islam phobia, ubaya si Namna unavyotafsiri, na kupreach, huenda hitajio ni kimkakati lakini mchafuzi akachafua, kwani lisu akitaja Wazanzibari anakosea?Sijaona ubaya wa hii barua, kwani kuna ubaya gani kujua idadi ya wanafunzi na walimu wa dini ya kiislamu katika shule za msingi na sekondari ili taasisi husika zipate kujua kuwa kuna uwiano wa kutosha au kutahitajika walimu wa ziada ili watoto wa kiislamu wapate mafundisho ya dini yao kwa uhakika. Mimi ningeomba zoezi hilo lifanywe nchi nzima ili taasisi kama Bakwata ipate kutayarisha walimu na masomo yenye tija kwa watoto wa kiislamu, masomo ya dini kwa watoto wa kiislamu yamekuwa ni mtihani kutokana na wanafunzi kutumia muda mwingi kwenye elimu ya sekula, bora vijana wafuatwe hukohuko mashuleni ili wapate somo la dini japo mara moja kwa wiki.
Hiyo ni kweli. Huyo Aloys N.S Maira aliyesaini kama KAIMU DED ni kweli Afisa Elimu Msingi hapa Karagwe. Alishawahi kufanya kazi Kama Afisa Elimu Halmashauri ya Kilwa kule Lindi na kule Kilolo Iringa akiwa afisa Elimu Msingi so barua hiyo ni ya kweliKama ni taarifa ya kweli hatua zichukuliwe kulinda umoja wetu.
Eeee bhana eeeeHiyo ni kweli. Huyo Aloys N.S Maira aliyesaini kama KAIMU DED ni kweli Afisa Elimu Msingi hapa Karagwe. Alishawahi kufanya kazi Kama Afisa Elimu Halmashauri ya Kilwa kule Lindi na kule Kilolo Iringa akiwa afisa Elimu Msingi so barua hiyo ni ya kweli
Namfahamu Personally mimi kama muuza madafu wa Ikulu.
Tunaelekea kubaya nao wakashtuka ndio maana wakaleta barua ya kucancell hiko Kibali. BAKWATA ndio waliokuwa wanataka hiko kibali cha kufanya hivyo.Eeee bhana eeee