Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wengi sana.😂
Bukoba kuna waislamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi sana.😂
Bukoba kuna waislamu?
Dunia haina SIRI.Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Mimi nilichoona hapo kwenye hiyo barua, mbali na maudhui yahusuyo barua hiyo; ni kwamba barua imeanza na Namba 2. Namba moja imekwenda wapi? Haikutakiwa kuonekana na wasomaji ndani ya JF, au ni mwandishi kaisahau?Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Wachukue tu..Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Umeeleza vizuri, lakini ninaloamini mimi, hizi shule za serikali hazina wajibu wowote na maswala ya dini. Mambo ya dini wachie wenyewe wenye dini zao wayashughulikie makanisani/misikitini au hata kwenye shule zao maalum.Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
why siyo kweli...imesambaa kwenye mitandao almost yote na hawajakanushaSio kweli, haiwezi kuwa kweli
Uko sahihi lakini swali linakuja je hicho ulichokisema ndicho kinachokusudiwa?.Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.
Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?
Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
Kwa Tanzania ya leo yenye kiongozi asiyekuwa na maono hata ya kitakachotokea kesho haya kutokea siyo kitu cha ajabu.Sio kweli, haiwezi kuwa kweli
Ndo mkoa unaoongoza kwa kutoa Mahujaji kila mwaka😂
Bukoba kuna waislamu?
Wengi sanaaa😂
Bukoba kuna waislamu?
Nisahihishwe kama nitakua nimekosea.Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.
Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?
Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
Wenzetu wanajiandaa kuwapa wanafunzi jambia mishare na manati, ndo akili zao zinapoishia. Wakati Wenzao upande wa pili wanawapa watoto computer vitabu nk.Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Bible knowledge na Islamic ndo upuuzi Gani?Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.