Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Mtoa mada ana tatizo gani?Taarifa haina shida kwa sababu lengo ni kupanga mipango ya kufundisha dini.
Tatizo lipo kwa mtoa mada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada ana tatizo gani?Taarifa haina shida kwa sababu lengo ni kupanga mipango ya kufundisha dini.
Tatizo lipo kwa mtoa mada!
AiseeeeWahaya bana. Kama wanyakyusa tu pale wanapojifanya wanajua sana uislam
MihemkoMtoa mada ana tatizo gani?
Kahemkia wapi?Mihemko
Tatizo ni rais aliyeko madarakaniKama ni taarifa ya kweli hatua zichukuliwe kulinda umoja wetu.
UdiniKahemkia wapi?
Ni ya kweli serikali haijakanysha, imekaa kimya means ni kweliKama ni taarifa ya kweli hatua zichukuliwe kulinda umoja wetu.
Sijawahi kushabikia udini nifuatilie vizuri, Sikiliza, sisi kazi yetu ni kuleta habari hapa jf, tunazileta kama zilivyo halafu uchambuzi utabaki kwenu na tafsiri zenuUdini
Vitu hivi Lema ndio hupenda kuvitengeneza!Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Katengeneza wapi na wapi?Vitu hivi Lema ndio hupenda kuvitengeneza!
Hii haina tofauti na Chama chenu kumjadili Rais kwa hoja ya zanzibar na ushungi, kwakweli nyani haoni kundule, hizo takwimu sio shida kwa maslaha mapana ya wenye kuzihitaji, huko kwenye mashule ya seminar na maofisini wakati Nimeona na kusikia wakatoliki wakihesabiana kimya kimya, huenda hawa jamaa wamekosea kufuata taratibu rasmi za kibali, walipaswa kufanya kimya kimya kama wana wa popeKabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Kwahiyo hapa ndio umeandika kweli kweli eeee?Hii haina tofauti na Chama chenu kumjadili Rais kwa hoja ya zanzibar na ushungi, kwakweli nyani haoni kundule, hizo takwimu sio shida kwa maslaha mapana ya wenye kuzihitaji, huko kwenye mashule ya seminar na maofisini wakati Nimeona na kusikia wakatoliki wakihesabiana kimya kimya, huenda hawa jamaa wamekosea kufuata taratibu rasmi za kibali, walipaswa kufanya kimya kimya kama wana wa pope
Waisilamu wa Bukoba ni wa kindakindaki, wakorofi.😂
Bukoba kuna waislamu?
Umeelezea vema kabisaaa na kila mtu atakuelewa kwa ulichoandika hapa.Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.
Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?
Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.
Wapo tena siasa Kali kama wale wa machame naona , lakini siku hizi wamachameb si wasiki na kuna kule singida/,kondoa😂
Bukoba kuna waislamu?