Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Haa HaaUdini umeanza kuchipua na kunawiri. Wanafanya sensa wajue wako wangapi ili wafanye maamuzi yao
Sasa Kila Dini Ikitaka Idadi Mfano Na Madhehebu Nayo Haa Hakuna Kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa HaaUdini umeanza kuchipua na kunawiri. Wanafanya sensa wajue wako wangapi ili wafanye maamuzi yao
Kwanini wasifanye sensa ya wanafunzi wa dini zote, au wa dini zingine hawana somo la dini?!!!Katika kusambaza walimu wa somo la dini kwa uwiano , pia wanafunzi wote hawafanyi mitihani ya dini ni option.
ni nani aliyeruhusu upuuzi huu ufanyike?Haa Haa
Sasa Kila Dini Ikitaka Idadi Mfano Na Madhehebu Nayo Haa Hakuna Kusoma
Ni taasisi gani inayoratibu na kusimamia hilo zoezi la utafiti ?Katika kusambaza walimu wa somo la dini kwa uwiano , pia wanafunzi wote hawafanyi mitihani ya dini ni option.
- Elimu ya Dini imeingizwa kwenye karikulam ya shule za serikali Tanzania?Mbona hakuna shida mkuu!
- Je kama wanataka wanunue vitabu vya elimu ya dini!?
- Au ni research, wanaevaluate idadi ya waislamu waliopo shule.
Shida wanao ratibu ni taasisi gani ? Km unaijua tupe taarifa zakeMbona hakuna shida mkuu!
- Je kama wanataka wanunue vitabu vya elimu ya dini!?
- Au ni research, wanaevaluate idadi ya waislamu waliopo shule.
Ipo kitambo sana- Elimu ya Dini imeingizwa kwenye karikulam ya shule za serikali Tanzania?
- Hiyo evaluation inamsaidia nani? Kufanya nini?
Hakuna kosa lolote, waislam huwa wanamambo yao mfano misaada kutoka nchi za kama Oman, Dubai, Morocco na nchi nyingine za kiislam. Hizo takwimu zitasaidia katika kurahisisha mambo kama hayo kwahyo naona hakuna shida yyte hapoHii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye nyumba zote za ibada inaweza pata takwimu, lakini hii ina malengo gani kusema kuna takwimu za wanafunzi wa dini hii na inakwenda kufanyika shuleni wanafunzi wote wanaona, shule hapo wanafunzi wanakuwa wamepata ujumbe gani?
View attachment 2986926
Source: Wenye Nchi Wananchi
Hawa jamaa bana, dini karibia zite huchukua takwimu ila sio rasmi kwa namna hii.Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.
Mwenye kufahamu basi atufafanulie.
View attachment 2985918
Shida pekee wengi mnaolalamikiaga mambp ya udini hua mnakua mnavutia kwenu, nikisoma comment yako naona unasagia wa kwenda "ijumaa", lakini ukitembelea kuna shule za serikali kabisa kuna kua na itaratibu sijui kaweka nani ila wana omba/sali kama wa kwenda "jumapili" swali kwako huoni kama hakuna balance ?ni movement ya udini isiyo na afya kwa taifa lisiloongozwa kwa misingi ya dini. Siku hizi hakuna anayekemea udini kama zamani. Udini unashadidiwa kwa nguvu mpaka kwenye taasisi za umma. Wakijiona wako wengi ataibuka mwehu wa kidini kuanzisha hoja bungeni kuwa lianzishwe jambo fulani kwa waumini wa dini hiyo kwa kuwa ni wengi na wana haki ya kufanya mambo ya dini yao kwa uhuru
Nynyi wenyew ndo mliharbu yy amewek sw kila sekta mlikua tayr mmeshs poeza mwelekeo kwa mfn chuki za ukanda,udini w/biashara kukumbia nchi wtu kupotea(viroba) nk acha chuki kaka subir 31Huyu mzanzibari anatuharibia Tanganyika yetu.
Misaada si wapeleke misikitiniHakuna kosa lolote, waislam huwa wanamambo yao mfano misaada kutoka nchi za kama Oman, Dubai, Morocco na nchi nyingine za kiislam. Hizo takwimu zitasaidia katika kurahisisha mambo kama hayo kwahyo naona hakuna shida yyte hapo
Maybe ni taasisi X tu inafanya research kuangalia waislam waliopo shuleni na ambao hawapo mashuleni.- Elimu ya Dini imeingizwa kwenye karikulam ya shule za serikali Tanzania?
- Hiyo evaluation inamsaidia nani? Kufanya nin?
Ilitakiwa barua hiyo ieleze kinagaubaga lengo la takwimu hizo. Ilivyo sasa kama ilivyoandikwa imeacha mwanya wa kila mtu kuitafsiri logic ya barua hiyo kwa namna yake..Wanafunzi hawa waliopo mashuleni kuanzia primary mpaka secondary hasa katika shule hizi za umma wana utaratibu wanafundishwa masomo ya dini either bibble knowledge au Islamic knowledge, wa shule ya msingi wanafundishwa ijumaa (au siku nyingine yoyote iliyoamuliwa na shule) masomo hayo ya dini, kila dini hutuma walimu wao inaowaamini kwenda kuwafundisha watoto hao masuala yanayohusu dini zao, hawa wa secondary hufundishwa pia masomo hayo ya dini na huyafanyia mpaka mtihani wa taifa masomo hayo yaani bible knowledge na islamic knowledge.
Na ukumbuke hakuna walimu waliograduate bachelor of education in islamic knowledge au bible knowledge isipokuwa walimu wanaowafundisha hawa watoto wanajitolea. Sasa kama kuna michepuo ya dini imeanzishwa, kuna ubaya gani watu wa dini husika kuomba kwenda kuwatambua walimu wenye dini fulani na watoto wa dini fulani ili kuweka pengine kuweka utaratibu wa jinsi ya kuwafundisha na kuwaandaa au pengine kuwaomba tu walimu waliotayari na wenye uwezo wa kufundisha masomo hayo washiriki katika kufundisha?
Mkurugenzi hana kosa alichofanya ni kuruhusu hao watu na kuomba wapewe ushirikiano sidhani kama kuna kosa au shida yoyote.