Baba Tarabushi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 248
- 433
Kwa sahivi sifahamu.Nitajie shule ya Umma inayofundisha EDK na Bible knowledge.
But kipindi mimi nasoma hapo around 2010 nilisoma government na kulikuwa na vipindi vya bible na EdK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sahivi sifahamu.Nitajie shule ya Umma inayofundisha EDK na Bible knowledge.
Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye nyumba zote za ibada inaweza pata takwimu, lakini hii ina malengo gani kusema kuna takwimu za wanafunzi wa dini hii na inakwenda kufanyika shuleni wanafunzi wote wanaona, shule hapo wanafunzi wanakuwa wamepata ujumbe gani?
View attachment 2986926
Source: Wenye Nchi Wananchi
acha kutetea udini wewe, hivi shuleni unawezaje kupata idadi kamili ya wanafunzi wa dini au dhehebu fulani? Let's say UKWATA, TYCS, CASFETA/TAYOMI, UHIMA na wengingine wengi wakati wanafunzi hubadilisha dini na dhehebu kwa uhuru wawapo shuleni/chuoni? Udini haukubaliki Tanzania/TanganyikaTukiwa shuleni, tulikuwa tunahesabiwa wanafunzi wa UKWATA (Protestants), TYCS(Katoliki), Wasababto na Waislam kwa kila darasa bila kuwepo na idhini ya kiserikali.
Sasa sijajua ni kwanini watu washangae sasa hivi wanafunzi kuhesabiwa tena kwa ruhusa na barua ya kiserikali.
Kweli aisee umewaza mbaliHuo utafiti wafanyie misikitini..
Ukute kuna watu kama wa iSIS wanatafuta kujua ni wapi hakuna watu wao ili wakalipue huko
Teh teh teh.umenikumbusha hadithi ya Panya, Jogoo na Mbuzi.bahati nzuri siishi ukimani huko mkuu. huko nitakuja wakati wa kula pension.
Hilo ndo lingeondoa sintofahamu inayojitokeza.Kwanini wasifanye sensa ya wanafunzi wa dini zote, au wa dini zingine hawana somo la dini?!!!
kwa manesi na maofisi mengine wali win. Ni full maushungi kwa kwenda mbeleTaratiiiibu Yale ya miaka ya 95 kipindi cha mkapa, yanarudi, Mara hatutaki mabucha ya nyama maeneo yenye wa Islam wengi!,?Mara tunataka watoto wa ki Islam wavae hijab shuleni(mpaka shule binafsi zililazimishwa), wakataka hata polisi na wana jeshi wa kike wavae hijab! Wazee wa usalama wakapinga
Soma hapo namba 2.
Inafikirisha sana. Mbona Ipo sheria ya JMT inayomtaka mzazi awaepeleke bila shuruti watoto wake shuleni ikiwa ni mojawapo ya Hitajio la Haki za Mtoto?Maybe ni taasisi X tu inafanya research kuangalia waislam waliopo shuleni na ambao hawapo mashuleni.
(Kuna baadhi ya waislamu hawaamini katika elimu Dunia; yaani wao ni madrasa tu)
So, through hiyo research labda itawasaidia hao reseacher kudevelop strategies kudeal na hiyo mindset.
Iwe iwavyo, utaratibu wa Serikali unadai kwamba katika masuala nyeti kama hilo, Barua inatakiwa isainiwe na Mkurugenzi Mtendaji (W)in Person na sio Kaimu mkurugenzi. Barua iliyosainiwa na Ag. DED ni batili.Soma hapo namba 2.
Yes. Kisha uliandikwa msemo kuwa "Mtego wa panya huingia waliokuwemo na wasiokuwemo."Teh teh teh.umenikumbusha hadithi ya Panya, Jogoo na Mbuzi.
Jogoo na mbuzi waliona kinachomsumbua Panya wao hakiwausu hata kidogo.
Lakini Panya ndiye aliyesalimika huku Jogoo na Mbuzi wakienda na Maji.

Ili Waanze kuchinja watoto wenzaoPengine wanataka kuanza kuwapa mapema mafunzo ya kigaidi
Maybe ni taasisi X tu inafanya research kuangalia waislam waliopo shuleni na ambao hawapo mashuleni.
(Kuna baadhi ya waislamu hawaamini katika elimu Dunia; yaani wao ni madrasa tu)
So, through hiyo research labda itawasaidia hao reseacher kudevelop strategies kudeal na hiyo mindse
Why"maybe?"shuleni hawaendi waslamu na wakristo ila wanafunzi,waslamu na wakristo wanapatikana msikitini na kanisani,hizo research zifanyike huko na sio shule.Maybe ni taasisi X tu inafanya research kuangalia waislam waliopo shuleni na ambao hawapo mashuleni.
(Kuna baadhi ya waislamu hawaamini katika elimu Dunia; yaani wao ni madrasa tu)
So, through hiyo research labda itawasaidia hao reseacher kudevelop strategies kudeal na hiyo mindset.
Hamna kisichowezekana,ni wewe ndo unakuwa huwezi.Msikitini utafanyaje utafiti mkuu ! 😅
Hata kanisani sidhani kama inawezekana.
Ila hiyo point ya kulipua sidhani kama ina uzito.
Labda sio udini,lakini ni lazima iwe ni ujinga.Hakuna udini hapo. Manaswara wenzangu acheni kupanic
Watakuwa binamu za Mama kutoka Oman wanataka kujua idadi ya waislam Tanzania.Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye nyumba zote za ibada inaweza pata takwimu, lakini hii ina malengo gani kusema kuna takwimu za wanafunzi wa dini hii na inakwenda kufanyika shuleni wanafunzi wote wanaona, shule hapo wanafunzi wanakuwa wamepata ujumbe gani?
View attachment 2986926
Source: Wenye Nchi Wananchi
Kuna watu wanajichetua sanaTukiwa shuleni, tulikuwa tunahesabiwa wanafunzi wa UKWATA (Protestants), TYCS(Katoliki), Wasababto na Waislam kwa kila darasa bila kuwepo na idhini ya kiserikali.
Sasa sijajua ni kwanini watu washangae sasa hivi wanafunzi kuhesabiwa tena kwa ruhusa na barua ya kiserikali.