Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani au una uhakika?Mengine tuwe positive. Nadhani kwanza ni shirika binafsi limeomba kibali. Mambo mengine tunayakuza bila sababu.
Jamaa ulisoma shule kweli? Somo la physic ni option kuanzia form 3 na hapo panakuwa na takwimu za kufanya somo hilo hata idadi inajulikana mpaka mtihani wa form four , kuna comb za biashara na art ambazo kuanzia form 3 hawasomi physics.Somo la Dini limeingizwa kwenye mtaala wa Elimu ya Tanzania?!
Wanafunzi wote hawafanyi mitihani ya Physics. Ni option. Ulishawahi kuona watu wanakwenda shuleni kufanya takwimu ya wasoma physics?!
Hata masomo ya kizungu hayatakiwi kabisa ni ya kuletwa tu na wazungu .Somo la dini halitakiwi kuwepo kabisa shuleni,hizo elimu wazifate sehemu husika,bora kufundishwa kutumia majani ya mpera kuzuia kuharisha ila sio dini.
Mtaala mpya ili kukidhi mahitaji unatakiwa kufanya sensa ili kuweza kufundisha , uhitaji ni pamoja ya wanafunzi kwa uwiano wa walimu .Kwanini wasifanye sensa ya wanafunzi wa dini zote, au wa dini zingine hawana somo la dini?!!!
Shule za sehemu moja Taasisi ? 😀 waislamu sio kwa majina ila wale wanaofuata uislamu inaweza mtu akawa muislamu na asifanye somo la dini tena wengi hawafanyi.Ni taasisi gani inayoratibu na kusimamia hilo zoezi la utafiti ?
Hapo kama mtoa mada hana logic kwa sababu ni jambo la kawaida sna miaka kibao , shule niliyosoma mimi pale Tanga wakristo ni wachache ikakiribia mitihani wanafanyiwa sensa wale ambao wanataka kufanya mitihani ...Pia enzi zile palikuwa na walimu wakiona watu wapo wengi wanajitolea kiufupi hamna tatizo ni evaluation ili kufanya maamuzi sahihiUkute hata hao wanaoomba kibali cha kufanya hiyo sensa ni waisalam hao hao lakini watu povu linawatoka..............
Mwaka jana kwa eneo nililopo kuna Mashekhe walipita mashuleni pia kuchukua takwimu za wanafunzi wa kiislam wakiwa na barua inayofanana na hiyo huku lengo likiwa kuwaletea mtihani wa dini wa pamoja kwa Halmashauri nzima, na mitihani hiyo ilifanyika September mwaka jana.
Hizi chuki hazuwezi kutufukisha popote lazima tujitafakari sanaa kwanini tuwe hasi kwa watu fulani wenye imani yao.Inafikirisha sana. Mbona Ipo sheria ya JMT inayomtaka mzazi awaepeleke bila shuruti watoto wake shuleni ikiwa ni mojawapo ya Hitajio la Haki za Mtoto?
Tuwe makini jamani isijekuwa wanatafutwa wale walio physically fit and Trainables ili wapewe "sponsorship" na kupelekwa huko... kupata mafunzo maalum halafu baadaye wakishafuzu warejee hapa na waje kuwarudi wale wa dini nyingine a.k.a Makafiri. Kumbuka walisha wahi kufanya hivyo na wakakamatwa na katika timbwili hilo wakakutwa na mavisu na mafunzo yasiyo katika Mitaala ya Tz. Hatujifunzi tuu??
Ujinga kama hu hauwezi kuacha hi nchi salama, kwanini unakua na hofu kiasi hiki, kuna mambo mliwatendea waislamu mpaka kuwa ogopa kiasi hiki kwamba watalipiza kisasi?.........hamba watu wa oga kama wakristo wa nchi hi sijui ni kwasbb ya ubadhilfu wao dhidhi ya wsislamu wana ishi kwa hofu kubwa, kama kuna mlicho watenda wa ombeni samahaKuelekea genocide nchini Rwanda 1994 kuna machete/majambia yalikuwa yanagawiwa kimya kimya kwa jamii ya wahutu pekee maana yake walianza kwa kujua idadi yao.[emoji16].
Najaribu tu kuwaza kwa sauti.
Masomo ya wazungu ni yapi? Na unambie yanawagawa vipi wanafunziHata masomo ya kizungu hayatakiwi kabisa ni ya kuletwa tu na wazungu .
nina hakika.Unadhani au una uhakika?
Elimu ya kuletwa tu hii ya wakoloni hamna jipya...Unataka kutetea sio elimu ya waafrica ambao walikuwa wakijenga zana mbalimbali.Masomo ya wazungu ni yapi? Na unambie yanawagawa vipi wanafunzi
yes hapo ndio wameacha loophole kwa watu kuzua mashaka. lakini si ajabu si ndio watumishi wa ukimani unategemea akili kutoka kwao? haiwezekaniTatizo hapo ni huyo mtoa kibali mvivu: hakujishughulisha hata kutaja sababu! Kwa nini? Bas
Ndio Tanzania hiyo!
🤣🤣🤣 uminichekesha mpaka musuli umeanguka.Ukute wanataka kupelekewa tende za mwezi wa Ramadhani, kua mpole.
Elimu ya kuletwa tu hii ya wakoloni hamna jipya...Unataka kutetea sio elimu ya waafrica ambao walikuwa wakijenga zana mbalimbal
Kwani hiyo elimu ya mkoloni ilietwa ni ipi na wewe hujaipata au?Elimu ya kuletwa tu hii ya wakoloni hamna jipya...Unataka kutetea sio elimu ya waafrica ambao walikuwa wakijenga zana mbalimbali.
Nafikiri wangekwenda serikalini iwape waalimu watakaofundisha hayo masomo; pia hata wenyewe wanajua waalimu wao wanaofundisha dini mashuleni. Hiyo si kazi ya taasisi nashangaa huyu kiongozi kiruhusu jambo hili. Je, viongozi w juu wameruhusu? Kwahiyo nhi nzima itoe Majin waalimu Waislamu ni wangapi. Lengo ni nini Hasan?Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye nyumba zote za ibada inaweza pata takwimu, lakini hii ina malengo gani kusema kuna takwimu za wanafunzi wa dini hii na inakwenda kufanyika shuleni wanafunzi wote wanaona, shule hapo wanafunzi wanakuwa wamepata ujumbe gani?
View attachment 2986912
Source: Wenye Nchi Wananchi