Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

Shida pekee wengi mnaolalamikiaga mambp ya udini hua mnakua mnavutia kwenu, nikisoma comment yako naona unasagia wa kwenda "ijumaa", lakini ukitembelea kuna shule za serikali kabisa kuna kua na itaratibu sijui kaweka nani ila wana omba/sali kama wa kwenda "jumapili" swali kwako huoni kama hakuna balance ?
umewahi kusikia hao wengine wanataka wajue wako wangapi? Halafu ni wapi nimevutia upande mmoja bila ku balance? Wale huwa wanajisikiaga infirity complex kila nyanja kana kwamba wao ni unique kuliko wengine
 
Weka ile barua ya kwanza tuone imetoka wapi. Tofauti na hapo ulichomaanisha hakijakamilika.
 
Tukiwa shuleni, tulikuwa tunahesabiwa wanafunzi wa UKWATA (Protestants), TYCS(Katoliki), Wasababto na Waislam kwa kila darasa bila kuwepo na idhini ya kiserikali.

Sasa sijajua ni kwanini watu washangae sasa hivi wanafunzi kuhesabiwa tena kwa ruhusa na barua ya kiserikali.
 
Maybe ni taasisi X tu inafanya research kuangalia waislam waliopo shuleni na ambao hawapo mashuleni.

(Kuna baadhi ya waislamu hawaamini katika elimu Dunia; yaani wao ni madrasa tu)

So, through hiyo research labda itawasaidia hao reseacher kudevelop strategies kudeal na hiyo mindset.
Huo utafiti wafanyie misikitini..

Ukute kuna watu kama wa iSIS wanatafuta kujua ni wapi hakuna watu wao ili wakalipue huko
 
Weka ile barua ya kwanza tuone imetoka wapi. Tofauti na hapo ulichomaanisha hakijakamilika.
IMG_20240510_173609_831.jpg
 
Mawazo huru!

Kama linafanyika wakati huu wa karibia na uchaguzi!ni dhahiri shahiri kura za mchongo zinatafutwa Kwa vyovyote vile!!

Hata Kwa hongo na ahadi za kazi,ufadhili wa masomo na n.k!

Tunaenda kugawanyika kiimani kabisa kuelekea uchaguzi mkuu!!yaani waarabu vs wazungu dhidi ya rasilimali zetu!!

Nilifundishwa utotoni muislamu ndugu yake ni muislam!
Aya mambo mnayaona sasa sababu ni kiongozi ni .....?lakini km tukianza kila jambo la kiimani liwe kando na mambo ya umma kuna madhehebu yataona hayatendew haki kuna madhehebu yameshazowea kuona wao ndio wanahaki peke yao na wamefaidika kwa miaka mengi ila km umefk wkt kayaweka kando naona kuna wtu wataumia zaidi
 
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.

Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na malengo ya Ubaguzi.

Mwenye kufahamu basi atufafanulie.

View attachment 2985918
Nami nimeiona sijarlewa maksudi yake
 
Huo utafiti wafanyie misikitini..

Ukute kuna watu kama wa iSIS wanatafuta kujua ni wapi hakuna watu wao ili wakalipue huko
Msikitini utafanyaje utafiti mkuu ! 😅
Hata kanisani sidhani kama inawezekana.

Ila hiyo point ya kulipua sidhani kama ina uzito.
 
Huwa wanaanza hivi hivi.. awamu zingine mambo haya hayakuepo
Taratiiiibu Yale ya miaka ya 95 kipindi cha mkapa, yanarudi, Mara hatutaki mabucha ya nyama maeneo yenye wa Islam wengi!,?Mara tunataka watoto wa ki Islam wavae hijab shuleni(mpaka shule binafsi zililazimishwa), wakataka hata polisi na wana jeshi wa kike wavae hijab! Wazee wa usalama wakapinga
 
Hiyo ni taasisi gani inayotaka kufanya hiyo tafiti ?
Ni ajabu sana hata mwandishi/aliyesaini barua hiyo mbali na kuweka reference number na tarehe ya barua iliyoomba kuchukua takwimu hajataka kutaja jina la mtu au taasisi iliyoandika barua hiyo.
 
Tukiwa shuleni, tulikuwa tunahesabiwa wanafunzi wa UKWATA (Protestants), TYCS(Katoliki), Wasababto na Waislam kwa kila darasa bila kuwepo na idhini ya kiserikali.

Sasa sijajua ni kwanini watu washangae sasa hivi wanafunzi kuhesabiwa tena kwa ruhusa na barua ya kiserikali.
Utaratibu wa zamani unashida gani mpaka uje utaratibu mpya? Je lengo la huo utaratibu mpya ni nini? Wanafunzi wanafaidika nao vipi?
 
Kwanini udhani? Hilo shirika limeomba kibali cha kuhesabu waislam kwa lengo gani? BTW hicho kibali baada ya kelele kelele hizi kimefutwa, kwanini? If nothing fishy is going on nyuma ya pazia?
duh! kimefutwa?? iko mambo. sema sijataka kuwa negative kwenye hili. sidhani kama kulikua na nia mbaya. i stand to be corrected.
 
Misaada si wapeleke misikitini
Kesho wakiamka kwenda hospital kuhesabu wagonjwa waislamu ni sawa?
Siku kwenye sokoni? Magereza? Vyuoni? Office za umma?
Itakuwaje
Misaada wapeleke nyumba za ibada huko
Sisi Watanzania tunachangamana bila kuzingatia tofauti za dini zetu
Msituvurugie amani
Ndugu yangu nimegundua unashida Mungu akusaidie
 
Mengine tuwe positive. Nadhani kwanza ni shirika binafsi limeomba kibali. Mambo mengine tunayakuza bila sababu.
Shida ni kwamba wenye mashaka na ili uwa mnawapa majibu mepesi mepesi sana.
Naomba Mungu watoa majibu mepesi msiwe na sehemu ya wanaajenda ili siku moja tuongee Lugha moja.
 
Back
Top Bottom