Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

Asante sana
 
Tanzania Haina usawa,Kuna gepu kubwa sana Kati ya walionacho na wasionacho.
Ninaamini Kuna jambo linapikwa kupitia udini,na muungano.
Haya mawingu ni mosh utakao chini.
Acha uwake tu.

2025 , Aache tanganyika iongozwe na watanganika
 
Imesitishwa
 
Hii kitu ilitakiwa kuwa na utangulizi ili watu wafahamu lengo lake kama ulivyoeleza
 
Hiki kibali kimeshatenguliwa leo. Hivyo, hilo zoezi halitafanyika.

Ova
 
Shukrani Kwa ufafanuzi.
 
Duh ! Nakumbuka wakati wa sensa ya mwaka Fulani, vimemo walikuwa wanasambaza ,na mawaidha ambayo spika zinasikika hadi nje. Kifupi ????
 
Islam phobia, ubaya si Namna unavyotafsiri, na kupreach, huenda hitajio ni kimkakati lakini mchafuzi akachafua, kwani lisu akitaja Wazanzibari anakosea?
 
Kama ni taarifa ya kweli hatua zichukuliwe kulinda umoja wetu.
Hiyo ni kweli. Huyo Aloys N.S Maira aliyesaini kama KAIMU DED ni kweli Afisa Elimu Msingi hapa Karagwe. Alishawahi kufanya kazi Kama Afisa Elimu Halmashauri ya Kilwa kule Lindi na kule Kilolo Iringa akiwa afisa Elimu Msingi so barua hiyo ni ya kweli
Namfahamu Personally mimi kama muuza madafu wa Ikulu.
 
Mwafrika ni kiumbe mpumbavu kuwahi kutokea hapa duniani.Dini imemfanya kuwa hana fikra huru bali kuendeshwa kwa mihemko.
 
Uzi tayari.
 

Attachments

  • 4ca08e9b8fcf0c2c5e2524b8c46226b0.mp4
    4.5 MB
Reactions: K11
Eeee bhana eeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…