Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Kupitia comments na maandiko utawajua wabakaji………… na utawajua wanawake walio katika denial kwasababu wamefanyiwa vitendo vya ubakaji hadi wamezoea .

🗑️🚮
 
MTU HUVUNA ALICHOPANDA,
NA YAWEKEZANA AROBAIN YAKE IMEFIKA
NA PENGINE KUNA WAHANGA WENGI WALIOFANYIWA HIVI.
NA PENGINE MKE ALIISHACHOKA NA HIZI DRAMA.
 
Huyo sio mwanamke ni njemba hiyo.
 
Umeandika rubbish kabisa. Una uwezo mdogo wa kutafakari.
 
Mimi ni mwanaume na sisi wanawaume huwa tuna ubinafsi sana kwenye mambo ya sex. Fikiria ingekuwa ni mke wa jamaa ametembea na houseboy jinsi ambavyo angeshambuliwa.
 
yaani mtu ambaye mnaambiwa ni mwili mmoja anataka ufungwe miaka 30
kataa ndoa mna hoja sana
Hahahahaha sasa kama mke kufungwa kwa mumewe ana maslahi nako watagawana mali anakula 50% share na anaendelea kugongwa na mchepuko wake kwa uhuru.
 
Kwahiyo DED



Swali:- Nani kasema DED kabaka?
Jibu:- Ni mkewe.

Soma tena point yangu ya 3

HAKUNA UBAKAJI WOWOTEEE, mwanamke katafuta pa kumpatia mumewe na kapapata..!!!!

#YNWA
DED kaingia kwenye mfumo wa mkewe 😂 na mke hakutaka kupoteza muda kaamua amalize show kibabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…