Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

haya mambo yanafikirisha sana, yani mtu wakati unatafuta, anakupa na mastress mara akuombe ombe hela, mara kachepuka, unamvumilia, na hachangii hata kitu kimoja, ukijichanganya ukaoa tu. mkiachana utasikia tugawane vitu tulivochuma wote. chuma wote na nani mbwa wewe.
 
mtu haujali familia yako wakati imekulea, imekusomeaha, imekuuguza yaani unajinyima ujenge, ununue usafiri, unatafuta na kadada, ndani ya mwaka tu mali zinakuwa zake.
ukisema unataka upeleke gari kwa wazazi we utapanda daladala kijitu kinaanza kupiga kelele. kelele za nyoko kwenda huko.
kuoa ni utapeli.
 
WENGI WANAO ACHA MALI, WANA ACHA KWA AJILI YA MACHO YA WATU. KIMOYOY MOYO WANAUMIA
TENA UNAKUTA WAZAZI WAKO WANAHUITAJI SANA SANA, BWEGE UNA ACHA VYAKO!
KAMA ALISHINDWA KUKUONA WEWE WA MAANA, NDIO ATAKUONA WA MAANA KWA KUACHA MALI?
 
Akili za kuambiwa siku zote changanya na za kwako ili ufanye maamuzi yenye busara.
 
Kwenye ubora wako

πŸ˜‚πŸ˜‚oeni jamani

Waoaji bado wapo


Hili jina ndio nalisikia leo.

oeni kwa akili mkuu



Iko hivi...
Yaani na hustle hivi, halafu sijui ndio nioe, then atokee mtoto wa mtu anatamka "Hizi Mali tunagawana" "Hii nyumba utatoka wewe utaniacha"

The results:-
Mwandishi wa JF atapost habari moja kati ya hizi
1. Nimeenda jela
2. Nimeenda kaburini

Ila sio kuachia vyangu KIRAHISI HIVYO.

#YNWA
 
Wake wazuri wapo sio kila ndoa ni jehanamu
 
Mimi ntauja kusign pre nup sitaki ujinga mimi
 

Ndio maana Mimi naamini katika Falsafa ya kuoa mkiwa wote mpo 0-0
Ilihata ikitokea lakutokea sio shida kupiga pasupasu.
Na wote muwe mnashiriki kwenye uzalishaji Mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…