Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

Vizuri mkuu....
 
Oa wewe
 
Kuna comment yako moja ulidai usipangiwe maisha kuoa sio lazima. So na huu uzi wako ukiusoma ukae ukijua kwamba maisha ni yako na hakuna mtu atakushikia bunduki kuoa. Hutaki kuoa ni wewe maamuzi ni yako. Kuna watu wanaoa, na wataendelea kuoa hili huwezi zuia kamwe. kila mtu afanye analoona kwake ni sahihi.
 

Angalia basi usimfukuze mwamba kwenye Mali zake.

#YNWA
 
Ni upumbavu kupoteza rasilimali jasho langu kwa namna yoyote ile kisa mtu ambaye tumekutana vitovu vikiwa vimekauka.

Yy ndo atafanya uchaguzi kati ya kusepa ama avute kimyakimya.

Sisi wanaume huwa tuna kasumba ya kupambanisha moyo na macho, macho yanaona kabisa kuwa mke huyu hana nia njema na wewe lkn moyo unakwambia habari za ya kwamba ni mke wako na ni mzazi mwenzio hivyo mhurumie (utu).

Lkn mwanamke akiwa na mpango wake na ikiwa ili mpango ukamilike unatakiwa mwanaume uondoke utaondoka duniani within seconds,hata dakika haitimii,hana wakati wa kufikiria sijui alikuwa akinyonya mpaka mic,sijui wewe ni baba bora wa watoto wake,hilo halipo.

Nina mke lkn huwa nina jambo 1 tu, nikiona na kutambua kuwa hatuna mipango ya pa1 mapema tu kwao anarejea,hizo mbwembwe zake sijui nyumba mara nini asubiri nitakapo wagawia watoto atapata kupitia hao.
Atafutika kutoka kwenye daftari la kudumu kabla ya yy kuniondoa indirect or direct.

Mimi huwa napiga story na hawa wanawake na hasa single mothers,na huwa wanasimulia ya wenzao walioko ndoani jinsi wanavyokuwa wanawaombea waume zao vifo ama vifungo vya muda mrefu magerezani.

Jamani,hali ni mbaya. Wanawake walio wengi (siyo wote)huwaombea waume zao mabaya pindi waonapo kuwa hata mmewe akiondoka maisha hayatakuwa mabaya sana kwakuwa tu wamejenga,wana vitega uchumi kiasi nk.

Kaa na single mothers vizuri haya mastori wanayo sana mpaka mifano ya mikasa hiyo wanakupatia.
 
Ooza oshey mr [emoji383] [emoji1787]
 
Naona ishu ya Kukataa Ndoa imejikita ktk MALI.

Mie nashauri vijana wenzangu hakuna KUOA Maskini (Hoehae) mara kumi udhulumiwe na Tajiri sio Maskini huwa inauma sana.

Kampeni iwe KATAA Kuoa Maskini.
Itaweka mambo sawa kbs.
 
Ila tuache tu utani wanawake kwa upande mwingine ni changamoto sana!
Acha tu maisha yaendelee lakini sijawahi kuona importance wa nwanamke zaidi ya uzazi, baada ya kugundua ngono sio kitu cha muhimu kinachompa furaha ya moja kwa moja mwanadamu.
๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ