Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Hakuna mchungaji wa watu akawa muongo kiasi hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Unamchafuaje Gwajima wakati ni mchafu tayari?
Hivi mwana Kawe mwenye akili timamu atampigia mwongo, tapeli wa dini kama GWAJIMA?
CCM mnafiki wapi ? Si mungempa Angella Kizigha au Kipi Warioba ? Hapo kweli kungekuwa ushindani
Ha ha ha ha ha ha tena ha ha ha haMchungaji akitaka gari kanisa linamchangia.
Muumini akitaka gari kanisa linamuombea.
Uzuri controversies za geajima sio ngeni, kila mtu anazijua hivyo wanaenda mchagua wakijua haya mambo. Ibueni mapya ya kushangaza sio haya ambayo kila mtu alishayajua toka kitambo...Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Unaweza ukawa sahihi BUT huyu jamaa sijui Gwajima atashinda ubunge Kawe...mark my wordsCCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa😠
Hiki ki mtu kinaudhi,CCM mmeniudhi kuleta huyu jamaa
😀 😀 😀 hapo ni kwa roho na miujiza tumeshafika marekani jirani!!
Duh..Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Mkuu, usitetee uongo! Hizo nazo zinanunuliwa kwa CASH?!Huo ni msamiati wa kiroho , kuna treni ya kwenda mbinguni kuna ndege pia na nagari ya kuwapeleka huko mbinguni.
Inawezekan alikuwa anazungumzia hayo maana alikuwa kanisani.
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Baada ya uchaguzi kupita kuna watu mtakimbia I'd zenu. Gwajima anachukua jimbo
Upo sahihi kabisa mkuu nadhani katika hili kateleza tu.Birmingham ipo Uingereza na ipo Marekani pia. Kumbuka kuwa wamarekani wazungu asili yao ni ulaya Uingereza ikiwemo.
Unaweza ukawa sahihi BUT huyu jamaa sijui Gwajima atashinda ubunge Kawe...mark my words
Mshauri awahi kwenda huko mbinguni maana kuendelea kukaa hapa duniani anaweza akakosa salio la kumfikisha huko.Wewe utaenda mbinguni
Kibwetere yeye aliwapeleka waumini wake mbinguni kwa kutumia meli Sasa huyu gwajima huenda kweli hiyo train ni ya kupeleka waumini mbinguni.Huo ni msamiati wa kiroho , kuna treni ya kwenda mbinguni kuna ndege pia na nagari ya kuwapeleka huko mbinguni.
Inawezekan alikuwa anazungumzia hayo maana alikuwa kanisani.
Means kanisa lijiombee ili lipate gari? 😀 😀Mchungaji akitaka gari kanisa linamchangia.
Muumini akitaka gari kanisa linamuombea.
Walichoangalia CCM, ni siraha yoyote itumike, ili mradi Halima aondoke. Yaani, Muislamu kaamua kula nguruwe, ili kuponya mafua!CCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa[emoji34]