Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Kweli wewe ni mwanakawe
Unamchafuaje Gwajima wakati ni mchafu tayari?

Hivi mwana Kawe mwenye akili timamu atampigia mwongo, tapeli wa dini kama GWAJIMA?
CCM mnafiki wapi ? Si mungempa Angella Kizigha au Kipi Warioba ? Hapo kweli kungekuwa ushindani
 
CCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa😠
Unaweza ukawa sahihi BUT huyu jamaa sijui Gwajima atashinda ubunge Kawe...mark my words
 
Huo ni msamiati wa kiroho , kuna treni ya kwenda mbinguni kuna ndege pia na nagari ya kuwapeleka huko mbinguni.
Inawezekan alikuwa anazungumzia hayo maana alikuwa kanisani.
Mkuu, usitetee uongo! Hizo nazo zinanunuliwa kwa CASH?!
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash

Bila SHAKA GWAJIMA anayobiashara isiyo JULIKANA INAYOMPATIA PESA NYINGI.
Kama siyo DARAJA la DHAHABU yetu,
"muda haudanganyi"
 
Baada ya uchaguzi kupita kuna watu mtakimbia I'd zenu. Gwajima anachukua jimbo

Pamoja na nguvu ya dola itatumika kwa hali ya juu kupitisha baadhi ya wabunge katika uchaguzi huu, pamoja na sie wengine ambao hatuoni busara ya kupiga kura chini ya Tume isiyokuwa huru bado sioni namna ambayo Gwajima anaweza kupenya na kushinda ktk jimbo la Kawe sababu ni jimbo la watu wanaojielewa, wameenda shule, sio wa kudanganywa na rushwa wala maneno ya kutamanisha kuw a peponi kama anavyowashika masikio waumini wake na kuwaibia sadaka zao
 
Unaweza ukawa sahihi BUT huyu jamaa sijui Gwajima atashinda ubunge Kawe...mark my words

Hii mambo ya Mark my words mliisema kwa Makonda, mtu yeyote anayehakikisha mambo bila hoja au sababu za ki Science ni mchawi na mpiga Ramli.....

Usituambie Mark my words, type facts ....... based on 1,3,4..... inaashiria atashinda, Hivi mtu wa mwisho kuchaguliwa na wenyewe wengi anashindaje?
 
Huo ni msamiati wa kiroho , kuna treni ya kwenda mbinguni kuna ndege pia na nagari ya kuwapeleka huko mbinguni.
Inawezekan alikuwa anazungumzia hayo maana alikuwa kanisani.
Kibwetere yeye aliwapeleka waumini wake mbinguni kwa kutumia meli Sasa huyu gwajima huenda kweli hiyo train ni ya kupeleka waumini mbinguni.
Ngoja tuone atakavyo wasomba.
 
2519641_IMG-20200914-WA0165.jpg
 
CCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa[emoji34]
Walichoangalia CCM, ni siraha yoyote itumike, ili mradi Halima aondoke. Yaani, Muislamu kaamua kula nguruwe, ili kuponya mafua!
 
Back
Top Bottom