Afu usiniudhi unajua, rudi kwenye hoja ya msingi, sikujikita Muhi2 mimi, nimeeleza kwa vyuo vyetu vyote vya udaktari Tz, na hasa ktk idara tajwa hapo juu!Wewe inaonekana huelewi. Nakuuliza mbona vyuo vingine vya Medicine Tanzania hakuna hayo malalamiko ya gpa ? Ina maana ni Muhimbili peke yake ndio mwanafunzi anatakiwa kupitia idara 16?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubadirisha mfumo ghaflaghafla ni ngumu, ila kwa kuanza kunyofoa nyofoa sehemu zinazoleta ukakasi mkubwa mwishowe tutajikuta tumeshabadilisha mfumo kwa kiasi kikubwa. Maana bandubandu humaliza gogo, na chovyachovyo hamaliza dumu la asali!Ndio vivyo hivyo kupata GPA kubwa haimaanishi ya kuwa wewe unaweza kuwa mkufunzi mzuri wa mtaala wa chuoni.
Wenye hoja ya mfumo wako sahihi,tatizo kubwa kwa wasomi wa kibongo ambao ndio wakufunzi wa vyuoni kwanza hawajiamini pili wana tabia za kukomoana na kutaka sifa,yaani ubinafsi,ila ingekuwa uwezo wangu na sisi katika fani tulizo somea mitaala ingebadilishwa mazima sababu haimsaidii mtu kujua kile alichosomea.
Swali linakuja,nani atakae badilisha mfumo na itakuwa lini na je mfumo mpya hautapigwa vita na wakubwa ?
Haya mambo ya GPA tulisukumiwa na sisi tukayadaka na kuyan'gang'ania bila kujali uhalisia wa mazingira ya elimu yetu hasa ktk ulinganifu!Nimekuelewa vyema sana,sasa swali linakuja unajuaje GPA ipi ya mtu alikuwa serious na GPA ipi ya mtu aliye kuwa kinyume chake. Hivi kwa mfumo wa elimu yetu ya vyuo unaweza kujua userious wa mtu kupitia GPA ?
Kwa ufupi umehitimisha kwa ujumla tena kwa utaratibu dhaifu wa kimantiki,jambo amball ulitakiwa kulipembua kabla ya kufikia hitimisho hilo.
Huwa najiuliza wale mabingwa na wagunduzi wa mambo huko nyuma au kale walikuwa wanapimwa kwa njia gani ?
Hili swala la GPA ni kiini macho, na unapokuja kwenye vyuo vya udaktari ndio inakuwa cancer!Hii ni kweli mkuu. Hata leo hii ukifanya uhakiki wa GPA hata pale UDSM wanaojifanya ni chuo standard maana vurugu zote hizi za sijui 3.8 undergrad au 4 masters zinaazia pale, utagundua wapo waadhiri kibao walioajiriwa bila kuwa na hiyo GPA ya 3.8 undergrad au 4 ya masters.
Kilichowafanya waajiriwe ni hiyo issue ya connections uliyoisema. Ukienda bila hizo connections wala watakukataa asubuhi eti GPA haitoshi lakini jioni mtu mwenye GPA hata chini yako anaandikiwa barua ya ajira kwa sababu ana mtu wa kumpigia debe hasa kipindi cha mkandala.
Natamani Magu/ndarichako afanye uhakiki wa GPA vyuo vya serikali ili kubaini ukubwa wa tatizo hili la mabwenyenye kuweka vigezo mshenzi kisha kuvikiuka inapotokea vikawabana ndugu zao.
Kigezo cha GPA ni pasua kichwa, hata mkuu wetu wa nchi ametambua, kuna GPA za 4.0 za kudesa! Nirudie tena, tufanye 'vetting' Kama muombaji amefauru somo husika, na amethibisha anao uwezo mzuri katika kufundisha somo husika, apewe nafasi, aje kutupunguzia mzigo huu mzito tHili swala la GPA ni kiini macho, na unapokuja kwenye vyuo vya udaktari ndio inakuwa cancer!
Kigezo cha GPA ni pasua kichwa, hata mkuu wetu wa nchi ametambua, kuna GPA za 4.0 za kudesa! Nirudie tena, tufanye 'vetting' Kama muombaji amefauru somo husika, na amethibisha anao uwezo mzuri katika kufundisha somo husika, apewe nafasi, aje kutupunguzia mzigo huu mzito t
Sio vyuo vyote vya udaktari Tz vinatumia GPA..nadhan system ya GPA kwenye medicine ipo Muhas tuGPA haipimi mgonjwa ila GPA ni indication kwamba ulikua serious na masomo na kama ulikua serious na masomo basi utakua serious kwenye kupima/kutibu wagonjwa.
Professor ni cheo cha taaluma chenye kuonyesha ubobezi ktk tafiti (academic tittle), Ili uwe professor lazima uwe mwalimu! Kwa swali la pili, kwa mazingira ya sasa kama GPA yako inaruhusu, unaweza kuwa mkufunzi!Wakuu habari za asubuhi!!!!
Binafsi nina swali naomba mnisaidie
Je, Kuna uwezekano wa dactari kuwa proffessa bila kuwa academician. La pili ,ukifanya master ya research utaruhusiwa kufanya kazi chuoni kama mkufunzi??? Au utakaa chuoni unashinda kwenye karakana za tafiti???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii point nakubaliana nayo kabisa . Maprofesor wengi wa vyuo vya Tz wanaogopa idadi ya wasomi kuongezeka . Sasa ndio wameleta kugezo cha kwamba maprofesor kustaafu mpaka 65 years eti wataalam ni wachache Sana . Pale SUA kuna department zimebakia na wazee tuu ambao Kwa kuwaangalia wote wako above 65 . Hakuna vijana wa kuwarithisha zile professionHero,
Mkuu matatizo husababishwa na wakufunzi, wakiohofia kuwafaulisha wanafunzi
kwa viwango stahiki watawatengenezea wahitimu njia ya kupasua mtaani kuwazidi,
Ni wivu chuki na rohombaya tu ya kiafrika inatuangamiza
Wakati ule miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kosa mwanafunzi kumiliki gari chuoni vinginevyo supu.au disco. inakuhusu
Watanzania Tunakosa nafasi nyingi za scholarship. (Masters na phds) kwa kuwa vyuo vyetu vinabania wanafunzi kupata GPA za juu (3.8-5),
Matokeo yake wakenya, waganda,waghana na wanigeria wana grab hizi opotunity kirahisi sana kwa kuwa wahitimu wao wana wa award GPA nzuri.
Tunaogopa kuruhusu soko huria la ajira kwenye east afrika community kwa sababu hatukujiandaa, ku train professional wengi,
Wenzetu wana professional wengi kutuzidi kwa sababu sisi bado tunabaniana sana
Bro umeongea kweli mimi mwenyewe medical student naona hayo mambo, unasota mpaka unajutia kusoma md mtu anaweza kukufanyia roho mbaya ,akakunyima marks Mungu anawaona wakufunzi wetu ila mnachotufanyia sio kitu kizuri kuna mwalimu wa gyanecology dah anatutesa.Wyatt Mathewson, Sijawahi ona... Kama nchi hii tunao wajinga kama ww, ndio maana hatuendelei.... By the way mm ni medical student hapa UDSM MCHAS... Mbeya... Naelewa tunavyoteseka hapa.. Sasa huyu mjinga sijui kutoka wapi. Hadi nimelia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama hata unaelewa nachomaanisha naposema mkufunzi wa madaktari maana yake nini. Nadiriki kusema umekariri sana na hujui unachobwabwaja! Eti 'analytical brain'…unaijua ww hata maana ya neno lenyewe au limekufurahisha tu kwa jinsi linavyosomeka?Unawezakua na hoja nzuri sana
Na pia pamoja na class struggle,mnyukano wa madaraja ya kimaisha nyie wachanga msije kuchukua nafasi zao,nk
Tunarudi kwenye uchumi wa nchi,ni mdogo mno nafasi ni chache
Hivyo concept iliyopo ni cut off iwe kali zaidi
Nchi ingekua mtambuka na nafasi za ajira zipo kwa wingi na uwekezaji kwenye sekta ni kubwa vya kutosha watu wote then viwango vya GPA lazima vishuke,hii ni normal law of economics!
Pamoja na yote hayo hawa jamaa huenda wakawa sawa maana wanaangalia international standards na sio below!
Wakisema GPA ni 3.8 ni kweli 3.8 na kuna sababu kabisa!
Umeniua nguvu eti unapofananisha GPA za Political Science ni rahisi na zenu ni ngumu hivyo msamehewe zichukuliwe hivyo hivyo ndogo
Hoja hiyo ni mufilisi kabisa kwasababu huwezi fananisha Udaktari na Political Science ndio maana ni machungwa na maembe japo ni binadamu walewale wanazisoma,ila tofauti n amount of energy kupata hizo cut offs...Udaktari una demand 3.8 and not below kwasababu lukuki
Umeng’ang’ania eti mna practical skills sana GPA sio issue sana,unaongea as if ni practicals tu zinatakiwa,inatakiwa analytical skills ambayo inataka higher brain power na sio practicals tu
Na tukija kwenye masomo ya practicals umefaulu basi viwango vile husika basi?
Jibu ni hapa hivyo unakimbilia huruma ya GPA huku ukifananisha na PA ambazo ni mbingu na ardhi
Cha msingi mtu achague PA kabisa medical school aache
Hii maneno eti mi najua sana kazi sijui sana mambo ya mitihani,how do we believe you wakati hata vyeti vyako havitoi hiyo suggestion?
Tunakupimaje sasa?Tukupe mtu umkate utumbo u-prove your point kua wewe ni mkali wa kazi na sio mitihani?
Hatutaki robots,tunataka mtu analytical anaejua kunyambua matatizo ya utatibu na kutoa proper decisions analytically then hiyo ma operations na mambo ingine watakuja kufanya maroboti
Mtu daktari hata hujui kuandika email au ku-analyze issues na kutoa real michanganuo kitaaluma na kutoa majawabu kwa kutumia ubongo kwa kisingizio eti nilikua sipendi mitihani nataka practicals tu which is of course nonsense!
Mi nafikiri tuwaache waliopata 3.8-5.0 wachukuliwe wafanye wanachoajiriwa
Wa 2.0-3.7 wafanye practicals wanazopenda huku hawana anylticak brain to reason anything wafanye yao,basi!
Hizi hoja za kushusha GPA sidhani kama zina mshiko yoyote!
Hazina in a nutshell!
Tuelewe kua GPA kubwa ina suggest huyu mtu ana reasoning capacity kubwa na ana uwezo wa ku analyze information nyingi kwa usahihi kwa muda mfupi,practical kama yupo chini sio tatizo sana!
Practicals by the way in 10 years from now ni robots tu zitafanya,ila brain power bado ni more valuable mzee,tusidanganyane!
Pole sana daktari mtarajiwa, we komaa tu utapenya tu mwishowe! Niombe radhi kwa niaba ya hao wanaokupa wakati mgumu! Ila yana mwisho…na mwisho ni mzuri tu kaza puti!Bro umeongea kweli mimi mwenyewe medical student naona hayo mambo, unasota mpaka unajutia kusoma md mtu anaweza kukufanyia roho mbaya ,akakunyima marks Mungu anawaona wakufunzi wetu ila mnachotufanyia sio kitu kizuri kuna mwalimu wa gyanecology dah anatutesa.
hivi vyuo hivi vina mambo kweli kuwa uyaone mwanangu.
Sent using Jamii Forums mobile app