Hivi Mkuu je unajua na kama hujui fuatilia kusoma medical school nje ya tanzania ni rahisi mno kuliko hapa tanzania academically na mtu kupata GPA zako unazopata ni rahisi mno naomba fuatilia na siku moja leta mrejesho hapaUmenena vyema sana mkuu. Mtoa mada anajichanganya sehemu kadhaa kwenye comments zake ila kwa kifupi mtu mwenye GPA kubwa tunaamini pia ana uwezo mkubwa na pia yuko trainable. Kuna nchi moja ya ulaya ni lazima ufaulu IQ test ili usomee udaktari. So kipimo sahihi kitabaki kuwa GPA/ufaulu mzuri na si vinginevyo.
Kuna vyuo vingine aliyemaliza na GPA kubwa na uhalisia wa uwezo wake darasani ni hakuna..eti alikuwa na connection na wakufunzi...vyuo vikuu kuna mambo...Kuna msemo ulikua una vuma sana vyuoni...."GPA does not matter" au "GPA sio issue, issue ni connection"!
Na misemo hii ilitumiwa sana na wale wasio penda kusoma japo walipenda sana kwenda clabu na kuangalia series!
Pengine tuna tatizo na mitaala yetu na pia wenzetu wanakuwa exposed kwa practical zaidi kuliko nadharia. Ila ukisema kwa wenzetu ni rahisi inanipa utata kidogo. Fani za afya ziwe kwa binadamu na wanyama zinafanana dunia nzima. Lakini bado kipimo sahihi cha uwezo wa mtu haswa kwa ajira za waadhiri na zingine sensitive kitabaki ni ufaulu tu na si vinginevyo. Kwa sasa hata bahadhi ya taasisi za kifedha wanaangalia GPA kushortlist watu wa interview, utasemaje mwenye GPA ya 4.2 umuache uchukue wa GPA ya 3.0 na wamesoma mazingira yanayoelekeana. Hata scholarship za nje wanaangalia ufaulu na ni kipimo sahihi kabisa ukiacha mapungufu machache yanayoletwa na wasimamiziHivi Mkuu je unajua na kama hujui fuatilia kusoma medical school nje ya tanzania ni rahisi mno kuliko hapa tanzania academically na mtu kupata GPA zako unazopata ni rahisi mno naomba fuatilia na siku moja leta mrejesho hapa
Kwa sasa tunajuta na GPA zetu za 3.1Kuna msemo ulikua una vuma sana vyuoni...."GPA does not matter" au "GPA sio issue, issue ni connection"!
Na misemo hii ilitumiwa sana na wale wasio penda kusoma japo walipenda sana kwenda clabu na kuangalia series!
Kwa kiasi kikubwa ulichosema ni kweli, kuna baadhi ya vyuo nje ya nchi ukiwa na GPA ndogo lakini umejiedeleza kwa kufanya postgraduate diploma au umefanya research na ukapublish kwa journal zinazoeleweka, wanakupa admission straight forward.Pengine tuna tatizo na mitaala yetu na pia wenzetu wanakuwa exposed kwa practical zaidi kuliko nadharia. Ila ukisema kwa wenzetu ni rahisi inanipa utata kidogo. Fani za afya ziwe kwa binadamu na wanyama zinafanana dunia nzima. Lakini bado kipimo sahihi cha uwezo wa mtu haswa kwa ajira za waadhiri na zingine sensitive kitabaki ni ufaulu tu na si vinginevyo. Kwa sasa hata bahadhi ya taasisi za kifedha wanaangalia GPA kushortlist watu wa interview, utasemaje mwenye GPA ya 4.2 umuache uchukue wa GPA ya 3.0 na wamesoma mazingira yanayoelekeana. Hata scholarship za nje wanaangalia ufaulu na ni kipimo sahihi kabisa ukiacha mapungufu machache yanayoletwa na wasimamizi
Hapa mkuu umesema ukweli mtupu...Kwa kutafuta mwalimu wa kufundisha sociology afu unaanza kuangalia anatomy alipataje, na unamkomalia na kumnyima nafasi kwa kuwa anatomy alikuwa na C ili hali sociology ana 'B+' unamwita hafai, huu ni ujuha! atakapo kuja fundisha sociology, anatomy wala hataitumia kabisa, sasa kwa nini kumletea mazagazaga yasiohusika?
Ndio maana nasisitiza kujitathmini upya juu ya matumizi ya GPA ktk kupata wakufunzi wa vyuo vya madaktari nchini mwetu maana GPA iko mbali na uhalisia. Kuna vyuo ambavyo viko strict mno na namna wanavyotoa marks kwa wanafunzi wao ambazo mwishowe ndizo zinapelekea kukokotoa GPA na kuna vyuo vingine vipo loose mno ktk jambo hilohilo, sasa unapoegemeza kigezo chako kwenye GPA ni wazi utaishia kupata vihiyo wenye 'A' na GPA kubwa na kuwaacha vipanga wenye GPA za sisimizi! Matokeo yake taasisi inakumbwa na UTAPIA-ELIMU na UTAPIA-UJUZI, na UTAPIA-UMAHILI!Umeongea ukweli ninaoishi 100%, Mimi kama.mtumishi ktk sekta za kijamii nimekuwa nikialikwa ktk interview na recruitment mbali.mbali nimeshuhudia mambo ya ajabu sana, Kijana A kasomea chuo nje ya nchi na kupata angalau B masomo yote, na kijana B amesomea nyumbani especially Muhimbili na kupata si zaidi ya C, lakini kwenye uwezo wa kujibu hoja za kitiba na practical skills unakuta majawabu yanageuka yaani yule kijana A anakuwa kijana B, maksi zake za Kijana A zinakuwa kama zimehamia kwa kijana B and viceversa.
Sijui modalities za ufundishaji hapa nchinu zikoje.
Hii itafaa kufanya kazi ya kuuza pharmacy ya wahindi.....joking!😃😃Kweli mkuu mfano mimi na ka GPA kangu ka 3.0 ntachomokea wapi???
Kuna 'factors' nyingi sana zinazopelekea mtu kufaulu! Kubwa zaidi ni uwepo wa mazingira wezeshi ya ufundishwaji! Ukijaribu fananisha vyuo vyetu vingi, wanafunzi wetu wana'toil' sana kwa kutokuwa na miundombinu wezeshi za kuwafanya wanafunzi wetu wafikie 'potentials' walizonazo.Pengine tuna tatizo na mitaala yetu na pia wenzetu wanakuwa exposed kwa practical zaidi kuliko nadharia. Ila ukisema kwa wenzetu ni rahisi inanipa utata kidogo. Fani za afya ziwe kwa binadamu na wanyama zinafanana dunia nzima. Lakini bado kipimo sahihi cha uwezo wa mtu haswa kwa ajira za waadhiri na zingine sensitive kitabaki ni ufaulu tu na si vinginevyo. Kwa sasa hata bahadhi ya taasisi za kifedha wanaangalia GPA kushortlist watu wa interview, utasemaje mwenye GPA ya 4.2 umuache uchukue wa GPA ya 3.0 na wamesoma mazingira yanayoelekeana. Hata scholarship za nje wanaangalia ufaulu na ni kipimo sahihi kabisa ukiacha mapungufu machache yanayoletwa na wasimamizi
Huko nje hata kama una makalayi wakiona unaweza fundisha watakuita nkufundisha, ni watu wachache hapa walikaa nafikiri eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya bila kutafakari kwa kina madhira yatokanayo na maamuzi kama haya na kupitisha mfumo huu kandamimizi na wenye kukejeli jitihada za madaktari wetu waliosoma ktk mazingira magumu!Kwa kiasi kikubwa ulichosema ni kweli, kuna baadhi ya vyuo nje ya nchi ukiwa na GPA ndogo lakini umejiedeleza kwa kufanya postgraduate diploma au umefanya research na ukapublish kwa journal zinazoeleweka, wanakupa admission straight forward.
Nadhani wadau katika sekta husika wakae tena kureview admission criteria. GPA au grade katika somo husika isiwe kigezo pekee cha admission.Huko nje hata kama una makalayi wakiona unaweza fundisha watakuita nkufundisha, ni watu wachache hapa walikaa nafikiri eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya bila kutafakari kwa kina madhira yatokanayo na maamuzi kama haya na kupitisha mfumo huu kandamimizi na wenye kukejeli jitihada za madaktari wetu waliosoma ktk mazingira magumu!