akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Machawa ndio walinde mikun.du yao, mwashambwa na tilatilaaLinda mgongo wako boss
Machawa ndio walinde mikun.du yao, mwashambwa na tilatilaaLinda mgongo wako boss
Kabisa yanYeah kwa kweli hapo Mnyika kakosea.
Tukiacha kula tutakosa nguvu za kupambana na hao wauaji.
Hahamimi sahivi ndiyo kwanza napakua minyama ! usipokula hata serikali haina habari na wewe! njia aliypitumia mnyika ni njia ya kitapeli
Kuna vitu ukiwa katika harakati inafaa uwafahamu unaozungumza nao. La watanzania kuwambia wagomee msosi kwa kweli lazima matokeo yawe hasi.
Hili kwa kweli lita fire back watu wataligeuza memes
Shida ya hii serikali hata ukigoma kula haisaidii.
Wala makombo mna nguvu sana mitandaoni. 😆Jamaa kafilisika kimawazo.
Yule Chizi alisema watu wafuge rasta pia