Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

Warumi 14:17 (SUV)

β€œMaana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu."
 
Kuna vitu ukiwa katika harakati inafaa uwafahamu unaozungumza nao. La watanzania kuwambia wagomee msosi kwa kweli lazima matokeo yawe hasi.
Hili kwa kweli lita fire back watu wataligeuza memes

..amesema watu wagome kwa namna mbalimbali, ikiwemo mgomo wa kula.
 
Shida ya hii serikali hata ukigoma kula haisaidii.

..Magereza kugoma kutekeleza hukumu ya mahakama ni jambo baya sana.

..tumefika mahali watawala hawataki kutekeleza hukumu pale wanaposhindwa.

..kwamba watawala wanavunja sheria halafu mahakama ikitoa hukumu hawatekelezi.

..kwenye nchi zilizostaarabika watendaji wa idara ya Magereza walipaswa kufutwa kazi.
 
Jamaa kafilisika kimawazo.

Yule Chizi alisema watu wafuge rasta pia
Wala makombo mna nguvu sana mitandaoni. πŸ˜†

Watu waoga siku zote huwa wanatumia mabavu, vitisho na nguvu za Mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama. Mbona kesi ni ndogo tu badilisha au futa vyama vya upinzani baki peke yako.

Halafu tofauti za itikadi zisikufanye ukajiona una utimamu wa akili kumbe ni mweupe tu kichwani.

Bila migongano ya mawazo hakuna demokrasia wala maendeleo, nyinyi wala makombo endeleeni kuleta maigizo mna chuki na vyama vya upinzani kumbe mnafanya haya yote kwa mashinikizo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…