Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Eti huo ndiyo uzalendo.

Waangalie sana wanaopenda kujitanabai kama wazalendo..wengi nyuma yao wameficha mambo magumu, njaa zetu za kiafrika, na short visions. Hawana maono ya mbali. Kila siku wanapenda kusifiana kwenye mambo ambayo ilitakiwa tujifungie ndani na kulia, sababu yanabeba aibu.
 
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.

Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19

My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.

Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.

Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao

Wewe ni mjinga kama wajinga wengine hufai wala hutakiwi kuwa hata kiongozi wa familia yako.

Wewe unajua mzungu ametumia mbinu gani kudhoofisha uchumi wa Zimbabwe, kuna mambo ambayo waafrika tunayakosea sio Kwa kupenda ni Kwa sababu watu wetu wanapenda kupata vitu Kwa NJIA rahisi hao wanaotumia mbinu mbalimbali kutuwekea vikwazo waliumiza kichwa kufikia hapo walipo.

Kwa hiyo husishutumu au kulaumu kitu ambacho hukijui, mzungu ametengeneza mazingira ya utegemezi WA mwafrika Kwa kila kitu kiasi kwamba anaposema hiki sipeleki au nipe hiki nikupe hiki kiongozi anakubali Kwa sababu wananchi ukiwaambia wavumilie hawawezi na ndio wanavuruga Amani ya nchii.
 
Ujinga ndiyo chanzo cha hayo yote.
 
Mzungu alimtuma Mugabe apore mashamba ya Wazungu?

Mzungu ndio anaongoza Zimbabwe saizi ambao imewarudishia mashamba na kuwapa fidia?

Wacha upumbavu wako Kwa sababu tuu huna akili.Akitumia akili na wewe tumia akili,mabavu hayawezi kukusaidia.
 
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.

Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19

My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.

Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.

Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao

Na huwa hatujifunzi kwa sababu ya kuwa na memory fupi.
 
Ukweli ndio huo unakuwa muoga afu unajitutumua ndio nn sasa au kuwarudishia hao makaburu ardhi ndio kutawafanya wao wawe na maisha mazuri!? No.

Corruption on it's best wamepewa kitu kidogo wakakubali kuufyata hao ndio maana halisi ya muAfrika mpumbavu.

Point kubwa ni nn faida yake ni nn!? Shida ziko palepale ten vlevle na tayari wameshaonyesha udhaifu na upumbavu wao, muAfrika ni ngumu kujitambua.
 
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.

Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19

My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.

Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.

Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao

Ile ilikuwa ni committment ya Waingereza kwa Mugabe wakati wa kudai uhuru kwamba wale wazungu wenye mashamba makubwa wangeachia baadhi ya maeneo ili waafrika nao wapate ardhi. Uingereza ndiyo walitakiwa kuwalipa hao mabwanyenye, lakini waliishia kumpiga danadana Mugabe na mwisho wakati wa kipindi cha Tony Blair ndiyo alikataa kabisa. Kwa hivyo kwa hasira naye Mugabe ndiyo akafanya vile.

Sasa ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Lini mzungu Ashawahi peleka msaada wa chakula Zimbabwe?
Zimbabwe ilipokuwa inatawaliwa na Mzungu ilikuwa nchi tajiri sana hata kuzidi nchi yetu.Kulikuwa kama Ulaya maisha yalikuwa mazuri.Wazimbabwe hawakuwa na njaa,walisoma bure,walitibiwa bure.Walikuwa na viwanda ila baada ya mshenzi Mugabe kutawala kila kitu kiliharibika Zimbabwe.
 
Ile ilikuwa ni committment ya Waingereza kwa Mugabe wakati wa kudai uhuru kwamba wale wazungu wenye mashamba makubwa wangeachia baadhi ya maeneo ili waafrika nao wapate ardhi. Uingereza ndiyo walitakiwa kuwalipa hao mabwanyenye, lakini waliishia kumpiga danadana Mugabe na mwisho wakati wa kipindi cha Tony Blair ndiyo alikataa kabisa. Kwa hivyo kwa hasira naye Mugabe ndiyo akafanya vile.

Sasa ungekuwa wewe ungefanyaje?
Yule alikuwa dikteta,tapeli na mwizi wa mali za umma.
 
Tangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.

Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
Mkuu Chukua soda nakuja kulipa

Mugabe na huyo aliyewarudishia mashamba na fidia wazungu mjinga ni huyu aliyewarudisha wazungu, sijui kahongwa nini Waafrika wengi ni useless
Tunatanguliza maslahi ya watu weupe kuzidi ya kwetu

Tumekaa tu hapa na utapiamlo, baadhi wanaona wanapesa lakini tukizigeuza in terms of dollar Sisi ni Makapuku..!🚮
 
Mugabe ni mjinga kwa sababu hakutoa elimu nzuri ya Wazimbabwe kujiendeleza na kujitegemea kwa manufaa yao na kizazi kijacho.Alichojichagulia ni kufilisi haki za Wazimbabwe kwa kisingizio cha kuwafukuza Wazungu kwenye nchi yake.
 
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.

Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19

My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.

Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.

Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao

Yale yale kama alivyofanya dikteta Magufuli kwenye makinikia
 
Back
Top Bottom