Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie huyo mjinga yaani anaona kukanyaga ardhi bila faida yoyote ni mtaji.Kuwa na Ardhi huku unasubiri msaada wa chakula kutoka kwa mzungu ni ujinga mtupu.
Eti huo ndiyo uzalendo.
Hao wanalipa fidia ni kunguru na bado wanadhihirisha udumavu wa akili kwa waAfrika wengi.
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.
Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19
My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.
Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.
Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao
PoleHao wanalipa fidia ni kunguru na bado wanadhihirisha udumavu wa akili kwa waAfrika wengi.
Ujinga ndiyo chanzo cha hayo yote.Waangalie sana wanaopenda kujitanabai kama wazalendo..wengi nyuma yao wameficha mambo magumu, njaa zetu za kiafrika, na short visions. Hawana maono ya mbali. Kila siku wanapenda kusifiana kwenye mambo ambayo ilitakiwa tujifungie ndani na kulia, sababu yanabeba aibu.
Mzungu alimtuma Mugabe apore mashamba ya Wazungu?Wewe ni mjinga kama wajinga wengine hufai wala hutakiwi kuwa hata kiongozi wa familia yako.
Wewe unajua mzungu ametumia mbinu gani kudhoofisha uchumi wa Zimbabwe, kuna mambo ambayo waafrika tunayakosea sio Kwa kupenda ni Kwa sababu watu wetu wanapenda kupata vitu Kwa NJIA rahisi hao wanaotumia mbinu mbalimbali kutuwekea vikwazo waliumiza kichwa kufikia hapo walipo.
Kwa hiyo husishutumu au kulaumu kitu ambacho hukijui, mzungu ametengeneza mazingira ya utegemezi WA mwafrika Kwa kila kitu kiasi kwamba anaposema hiki sipeleki au nipe hiki nikupe hiki kiongozi anakubali Kwa sababu wananchi ukiwaambia wavumilie hawawezi na ndio wanavuruga Amani ya nchii.
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.
Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19
My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.
Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.
Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao
Ukweli ndio huo unakuwa muoga afu unajitutumua ndio nn sasa au kuwarudishia hao makaburu ardhi ndio kutawafanya wao wawe na maisha mazuri!? No.Pole
Lini mzungu Ashawahi peleka msaada wa chakula Zimbabwe?Kuwa na Ardhi huku unasubiri msaada wa chakula kutoka kwa mzungu ni ujinga mtupu.
USAID.Lini mzungu Ashawahi peleka msaada wa chakula Zimbabwe?
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.
Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19
My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.
Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.
Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao
Zimbabwe ilipokuwa inatawaliwa na Mzungu ilikuwa nchi tajiri sana hata kuzidi nchi yetu.Kulikuwa kama Ulaya maisha yalikuwa mazuri.Wazimbabwe hawakuwa na njaa,walisoma bure,walitibiwa bure.Walikuwa na viwanda ila baada ya mshenzi Mugabe kutawala kila kitu kiliharibika Zimbabwe.Lini mzungu Ashawahi peleka msaada wa chakula Zimbabwe?
Yule alikuwa dikteta,tapeli na mwizi wa mali za umma.Ile ilikuwa ni committment ya Waingereza kwa Mugabe wakati wa kudai uhuru kwamba wale wazungu wenye mashamba makubwa wangeachia baadhi ya maeneo ili waafrika nao wapate ardhi. Uingereza ndiyo walitakiwa kuwalipa hao mabwanyenye, lakini waliishia kumpiga danadana Mugabe na mwisho wakati wa kipindi cha Tony Blair ndiyo alikataa kabisa. Kwa hivyo kwa hasira naye Mugabe ndiyo akafanya vile.
Sasa ungekuwa wewe ungefanyaje?
Mkuu Chukua soda nakuja kulipaTangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.
Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
Hapo sasa.Uzalendo upi? Kuharibu maishabya wengine na kuwauzia porojo za uzalendo, mabeberu na unyonge? Mbona wao waliendelea kuishi maisha ya kifahari bila kuwa wanyonge?
Mugabe ni mjinga kwa sababu hakutoa elimu nzuri ya Wazimbabwe kujiendeleza na kujitegemea kwa manufaa yao na kizazi kijacho.Alichojichagulia ni kufilisi haki za Wazimbabwe kwa kisingizio cha kuwafukuza Wazungu kwenye nchi yake.Mkuu Chukua soda nakuja kulipa
Mugabe na huyo aliyewarudishia mashamba na fidia wazungu mjinga ni huyu aliyewarudisha wazungu, sijui kahongwa nini Waafrika wengi ni useless
Tunatanguliza maslahi ya watu weupe kuzidi ya kwetu
Tumekaa tu hapa na utapiamlo, baadhi wanaona wanapesa lakini tukizigeuza in terms of dollar Sisi ni Makapuku..!🚮