Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Hahahaaa......watakwambia unawakashifuAkili ya TL labda ukusanye ccm wote hata waliokufaga miaka mingi ndio kwa mbaali mtamkaribia🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa......watakwambia unawakashifuAkili ya TL labda ukusanye ccm wote hata waliokufaga miaka mingi ndio kwa mbaali mtamkaribia🤣🤣🤣
Mengine uwe unakubali hivyohivyo hata kwa kutulia kimya tu.Utapata ulcers buuuree!Wewe na Lissu ni mbingu na ardhi.Ungekuwa naye level moja tusingebisha kukuambia.Dunia ina watu wajinga kweli kwani ana level gani? Ya kipekee?, (kweli upuuzi hautakwisha kwa upunguani wa aina hii)
CODES OF ETHICS WALIZOKUBAKIANA NI LAZIMA ZIFUATWE NA ENDAPO MTU AKIZIKIUKA AWEKWE NDANI TU, HAIWEZEKANI KULEA UPUMBAVU NA UHUNI.
Wala hachagui. Chawa na mwenye chawa wote roho juu juu! TAML ni habari nyingine aisee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nitulie nimuone nani mpuuzi.
Ila yule jamaa anajua kurusha watu wazima roho!
Ni kweli aisee ila "mijitu" iliyozaliwa mijizi na mitapeli hatuaivumilia. Bandari za Tanganyika haziuzwi!Rais kanyoosha mikono na kusema ataenda nao tu watu sample ya Lissu.Ameongeza kwamba kuna watu ndivyo walivyozaliwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa babu zake, siyo?Samia kama hataki matusi arudi kwao Oman.
TL Namuona ni mtu mjinga mjinga fulani Ingawaje wapo wanaomtukuza na kumuona kama mtu bora kabisa, we differ in I. Q and intelegency akili yangu inamuona wa hovyo tena asiye na shukurani.Mengine uwe unakubali hivyohivyo hata kwa kutulia kimya tu.Utapata ulcers buuuree!Wewe na Lissu ni mbingu na ardhi.Ungekuwa naye level moja tusingebisha kukuambia.
Sawasawa.Sawasawa?Sawasawa!🙏TL Namuona ni mtu mjinga mjinga fulani Ingawaje wapo wanaomtukuza na kumuona kama mtu bora kabisa, we differ in I. Q and intelegency akili yangu inamuona wa hovyo tena asiye na shukurani.
Akili yenu imefikia ukomo wa uchanganuzi na kumuona ni wa kipekee /TUPO MAKINI SANA KUZUIA VISINGIZIO VYAKE VYOTE VINAVYOWEZA KUMSABABISHIA KUKIMBILIA UBELGIJI SEREKALI INAMPENDA MTANZANIA MWENZETU HUYU.Wala hachagui. Chawa na mwenye chawa wote roho juu juu! TAML ni habari nyingine aisee!
Yeah, hata maoni yasiyokuwa na hoja ya msingi na hivyo kuitwa ya kijinga ni maoni. Hiyo ndo domocrasia.TL Namuona ni mtu mjinga mjinga fulani Ingawaje wapo wanaomtukuza na kumuona kama mtu bora kabisa, we differ in I. Q and intelegency akili yangu inamuona wa hovyo tena asiye na shukurani.
Si wa kipekee ila kwa kweli ni jasiri na mwenye hoja zenye mashiko. Tunapimpinga na kumuona tumuonavyo, tufanye hivyo kwa hoja. Wako wengi ndani na nje ya CCM wenye uwezo kama wa TAML, wewe ni mmoja wao, lkn unafiki umetujaa na hatuko tayari kusimamia ukweli ili tu kulinda maslahi ya matumbo yetu.Akili yenu imefikia ukomo wa uchanganuzi na kumuona ni wa kipekee /TUPO MAKINI SANA KUZUIA VISINGIZIO VYAKE VYOTE VINAVYOWEZA KUMSABABISHIA KUKIMBILIA UBELGIJI SEREKALI INAMPENDA MTANZANIA MWENZETU HUYU.
Endeleeni kumponza Hangaya!Dunia ina watu wajinga kweli kwani ana level gani? Ya kipekee?, (kweli upuuzi hautakwisha kwa upunguani wa aina hii)
CODES OF ETHICS WALIZOKUBAKIANA NI LAZIMA ZIFUATWE NA ENDAPO MTU AKIZIKIUKA AWEKWE NDANI TU, HAIWEZEKANI KULEA UPUMBAVU NA UHUNI.
Alichojitetea mama ni kile ambacho nyie chawa mlitakiwa kufanya.
Mmekazania uchawa na kuwinda teuzi mnasahau wajibu wenu kama chawa.
TL Namuona ni mtu mjinga mjinga fulani Ingawaje wapo wanaomtukuza na kumuona kama mtu bora kabisa, we differ in I. Q and intelegency akili yangu inamuona wa hovyo tena asiye na shukurani.
Hata mzee mchonga?Akili ya TL labda ukusanye ccm wote hata waliokufaga miaka mingi ndio kwa mbaali mtamkaribia🤣🤣🤣
Samia ndiye aliyechemka sasa anadhani wote wanasikia joto! Bora arudi Kizimkazi akanywe maji ya baridi apoze roho!Mama Samia alisema, moto huko. Watu hapa JF wakambeza
Uwezekano mkubwa ni kwamba akili yako wewe inaweza usifike hata 10% ya akili ya Lisu.TL ni mpuuzi mmoja sana anayejiamini ila kichwa maji sana yule
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app