Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

Group stage ya CAFCL ni sawa na bingwa wa shirikisho
Pambana kolo
Simba msimu uliopita alifika robo fainal champion sio group stage uwe na akili kidogo!
 
Attachments

  • FB_IMG_1737727829797.jpg
    FB_IMG_1737727829797.jpg
    37.8 KB · Views: 1
Simba msimu uliopita alifika robo fainal champion sio group stage uwe na akili kidogo!
Si tunasema msimu huu wewe unasema msimu iliyopita
Sasa nani alimfukuza Simba msimu huu asichezeshe CAFCL na akacheze rede huko umamani
 
Si tunasema msimu huu wewe unasema msimu iliyopita
Sasa nani alimfukuza Simba msimu huu asichezeshe CAFCL na akacheze rede huko umamani
Umamani mlineng'eneka nyinyi msimu uliopita sasa simba anakwenda waonyesha kuwa nyinyi uwezo wenu ni kununua mechi hapa bongo international hamna uwezo sio shirikisho wala champion ligi ni aibu kufungwa na timu dhaifu al hilal!
 
Team dhaifu zipo shirikisho
 
Tan
Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya bongo yenye timu dhaifu kama jkt,namungo,singida black stars na nyingjnezo zinazo pewa udhamini na GSM taarifa hizi chanzo chake ni mjumbe aliyeshiriki kikao baada ya mechi ya mwisho dhidi ya mc alger kikao kilifanya maamuzi mengi hata kuondoa baadhi ya member wa kamati ya maxhindano na wachezaji wameonekana kushuka viwango baada ya kuvunja miiko ya uchezaji kwa kujaamiana hovyo wakiwa manumbani kwao kwa kuwa wachezaji wengi hawapo katika misingj ya u-proffessional kilimaliza chanzo hicho!
Ligi ya Tanzania Niya 4 kwa ubora Africa 🌍, South Africa niyangapi kwa ubora, kabla ya kupanda Tanzania ilikuwa ya 6
 
Kweli side mnyamwezi hafurahishwi na kupewa timu dhaifu!
 
Back
Top Bottom