Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Ufafanuzi, ligi ya Tanzania Niya 4 kwa ubora kwasasa Africa š South Africa tumeizidi yenyewe Iko namba 6, yaani wao kwasasa wameichua nafasi ambayo Tanzania ilikuwepoHoja ni kuishia makundi lenye timu dhaifu mkashindwa kuvuka,kocha kashauri timu ihamie south wewe ndio huna hoja tulia!
Ligi ya Tanzania kidunia ipo nafasi ya 57