Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

Hoja ni kuishia makundi lenye timu dhaifu mkashindwa kuvuka,kocha kashauri timu ihamie south wewe ndio huna hoja tulia!
Ufafanuzi, ligi ya Tanzania Niya 4 kwa ubora kwasasa Africa 🌍 South Africa tumeizidi yenyewe Iko namba 6, yaani wao kwasasa wameichua nafasi ambayo Tanzania ilikuwepo
Ligi ya Tanzania kidunia ipo nafasi ya 57
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…