Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Mkuu, epuka magomvi na mwanamke mara nyingi ni risky kwa mwanaume haijalish nani mchokozi.
Mimi nimechagua kujiondokea na kwenda kwa wengine wenye furaha kama mimi kwa wakat huo yeye kanuna.
 
Mimi Kama Mungu wangu nitakuwa namkosea basi anisamehe ila mwanamke hata Anitolee figo naona kama ananiigizia tu ndo mama IKitokea amechoka maigizo Yasio na matokeo inakuwaga like

Her: Yofav i think we need a break maana naona hamna vision kati yetu.

Me: Yah Yah, Its Fine.
 
Safi kabisa, uvumilivu wa binadamu una kikomo na by nature mtu ni mbinafsi.
Pengine pesa zako zitakusaidia utahudumiwa na MaNurse mpaka mauti yako ila huku nje familia ikigombea utajir wako tu.
Acha kabisa mkuu, sina hata mwezi nimehudhuria msiba wa mzee ambaye ana watoto wa kutosha na wenye uwezo kiuchumi ila kafariki kwa kukosa matibabu.

Nilichogundua, cha muhimu ni kutafuta pesa ili upunguze utegemezi ili ikifikia mambo yameharibika uwe na alternatives. Ukitegemea mke, watoto au marafiki wa karibu, hakuna guarantee kuwa hawatokuacha baada ya muda flani
 
Safi kabisa, hakuna muda wa kuforce furaha kuna muda wa kuenjoy tu. Ni wanafiki hawa ukute unabembeleza unaomba na msamaha kumbe ana hasira za kuachwa na kibenteni wake.
 
Mkuu, epuka magomvi na mwanamke mara nyingi ni risky kwa mwanaume haijalish nani mchokozi.
Mimi nimechagua kujiondokea na kwenda kwa wengine wenye furaha kama mimi kwa wakat huo yeye kanuna.
πŸ’― kabisa kakaaaa
Majuzi nilikuwa uganda nkaita shemeji yenu .mmoja nilizaa nae akaja na rafikie

Pombe hizi tumekΓΉnywa kaenda choose nkatoa namba kwa jiran...sijui yalioendea asbh naona. Binti analia. A nyotta kweli ya kulia gafla kafunga begi lake kaanza..

Huyu kidogo tofauti mzazi..piga sana akimya andikaa msg sana kimya nkaona nimpe space....


Nikaomba kubadilisha room 3rd day anakuja ndio ananieleza kilichotokea nkamwambia sorry was drunk na yule demu ndie aliomba namba yangu tukaenjoy mpaka naondoka

Yaan bora wa bongo mkuu South Africa usithibutu kupigana ama mwanamke apige ukungq utajuta kuzaliwa
 
Mama hunambia oa uanze kuzaa ujenge familia ni muhim kwa future na uzee wako. Mimi humjibu Mama kuoa oa na kuzaa zaa sio kipaumbele changu maana sidhan kama kwenye mke au watoto kuna warantee ya msaada uzeeni zaidi sana ni kubeba tu majukum. Nampa na mfano si unaona Baba yenu kawazaa wengi ila wenzio wote hawana msaada nae.
 
Sasa nawew ulijua ku risk life lako aseeee cm inakosaje password au ulimwambia 🀣🀣🀣🀣,,af demu wa mara aseeee usirudie tena
 
Mimi naogopa sana ndugu yangu, najua binadam hatufanani hisia tukishatofautiana tu sijikuti Sharu Khan napotea mapema sana kujiepusha na matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…