Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Watakua wanaangalia series za kikorea kupitiliza. Akileta kununa nuna. Muwashe makofi kadhaa akili imkae sawa.
 
Mkuu tambua kuwa ww ni moja ya watu wenye akili duniani,ukiwa na akili huwezi kuishi na Mwanamke lazima utaone tu kero.
Average minds ndio tinaweza ushi na mwanamke,maana mwanamke ni mtu asiye tumia akili sana.angalua watu wengi duniani mashuru nguli wavumbuzi wengi hawakuwahi kumiliki wanawake.

Wanawake ni distraction.
 
Kwamba unaamanisha huyo mke ndio hawezi kukukimbia ukiwa unapitia hizo changamoto hapo au?
 
Mwanamke ni kiumbe ambaye hisia zake huwa zinabadilika badilika sana

Mara awe na furaha mara anune

Wana akili za kitoto sana

Usijipe umuhimu hisia za mwanamke zikibadilika sijui uanze kubembeleza atakuona zoba na kukutawala

Akinuna na wewe mchunie tu endelea na mambo yako.

Baadaye huwa wanaanza kujirudi na kukusemesha mtie hapohapo mboo alale
 
tatizo lako unadate na wanawake waliovurugwa na situation za maisha, mathalani wale wa over 30 na hawajaolewa na hawana mwelekeo wa maisha, masingle mother n.k....
 
Kataa ndoa. Ukideal na hasira za mwanamke utakufa kabla hata hujafika 40 mkuu. Mwanamke ni mtu wa kumpuuza na kuendelea na 50 zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…