Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kiasi gani napokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndo linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, Nyie wanawake ndo mlivyo au ni mimi sijui kuCARE?

Mlooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Usieneze vitu hatari kwa Taifa ndg yangu
 
Ningecheza a
Sasahizi ningekuwa natumia jf ya mbinguni
Hahaaaa ,kangekugecha muraaa
Hivi vi malaya vya Tarime tuachie sisi kaka zao , vitawatoa roho faster .
Sisi lugha ambayo huwa tunaongea navyo ni ubabe wa kihitler ,yaani kipondo mwanzo mwisho aka Operation barbarosa .
Sasa ninyi wanaume ndembembe wa Dar lazima mnyooshwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dume zima na vinyweleo unaomba msamaha na kulia lia na unapigwa makofi kama zoba , acha uzembe wewe .
Inabidi ujionee aibu .
Wewe ukienda kule kwa wakamba Kule Kenya si ndio watakupiga kitanzi kabisa wewe ,jinsi ilivyo mlenda mlenda hivyo ?

Reaction yako ulitakiwa kumpa banzi zito la uso na makonzi ya utosi ulipomkuta kashika simu yako na kukuliza ujinga .
Na si kuleta uzembe wa kindezi ndezi
 
Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kiasi gani napokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndo linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, Nyie wanawake ndo mlivyo au ni mimi sijui kuCARE?

Mlooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Hata mama yako kwa baba yako ilikuwa hivyo hivyo au ilikuwa tofauti.....
Wewe una spiritual problem hivyo unakutanishwa na vimeo wenzako
WANAUME MLIVYO ADIMU NA WACHACHE HAMNA MWANAMKE WA KUKUFANYIA HIVYO
 
Binafsi kuna mambo nimeyaacha yaendelee kama yalivyo ili kutoumiza kichwa changu, kipindi cha nyuma nilikuwa napata shida sana lakini baada ya kugundua siwezi badili chochote kwa namna yoyote ile niliamua kukaa kimya.

Kuna wakati kile ambacho hutaki Mke wako afanye yeye ndicho akipendacho, kwa vyovyote vile hawezi acha, mfano. Mke wangu alikuwa ana ukaribu uliopitiliza na Mfanyakazi mwenziye wa kiume, ukaribu ule uliwatia shaka hata Watu baki, binafsi sikupenda ile hali, nilikaa naye na kumwambia sipendi hicho kitu, nikajua kanielewa.

Cha ajabu kuna kipindi alisema anataka kwenda kupima ujauzito kwani kulikuwa na dalili zote za kuwa katika hali hiyo, baada ya kupima alinijulisha kuwa ni kweli ana ujauzito, baadae nakagua simu yake nakuta huyo Mfanyakazi mwenziye alimtumia ujumbe kuwa nipo hapa mapokezi kwenye benchi nakusubiri..daa iliniuma sana na ugomvi ukawa mkubwa sana!

Mpaka hivi sasa bado ukaribu wao unaendelea na hivi karibuni kuna Jamaa tulikuwa tunamdai, sasa baada ya kukutana naye akaanza kujitetea kuwa hivi karibuni alikutana na Mke wangu akiwa na huyo Mfanyakazi mwenziye wa kiume na alimweleza changamoto yake, nilichoona huyo Mdeni wetu alitaka tu kunifikishia ujumbe.

Ni ngumu kubadili tabia ya mtu kwa namna yoyote ile, kikubwa kitakachofanyika ni kubadili mbinu tuu, kwa sasa sina hata muda wa kukagua simu yake..
 
Back
Top Bottom