Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao πŸ€”


Hahah dah! Kumbe ndio hivyo.

humu mitandaoni utakuta mtu anakushambulia hadi unabaki unashangaa vipi?

Kumbe tatizo ni psychology
 
Hahah dah! Kumbe ndio hivyo.

humu mitandaoni utakuta mtu anakushambulia hadi unabaki unashangaa vipi?

Kumbe tatizo ni psychology
Acha tu best,
Mtu anaweza kukukalia kooni hadi mwenyewe ukahisi labda kuna kitu uliwahi mtendea kwenye past life, kumbe hata hamjuani.
 
Kuteseka sio sifa...hakuna ugongwa mbaya kama UMASIKINI
 
Mtoa mada una mawazo kama yangu. Sioni maana ya kuzaa na watoto waje kuishi maisha ya kubahatisha kama yangu.

Niliwahi kuwapa watu huu msimamo wangu wakanipinga sana na kunihoji, je, mzazi wangu angekua na mawazo kama yangu mm ningezaliwa? Nilikua mpole sana
 
Acha tu mi najuta kwakweli mkuu najuta sana siku niliyozaliwa mkuuu acha kabisa hamna kitu kinauma kama watoto wenzako wana maisha mazuri na uhakika wa kutoboa mi nipo nipo tu hapa 😭😭😭😭😭 najuta sana hii kitu
 
Acha tu mi najuta kwakweli mkuu najuta sana siku niliyozaliwa mkuuu acha kabisa hamna kitu kinauma kama watoto wenzako wana maisha mazuri na uhakika wa kutoboa mi nipo nipo tu hapa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] najuta sana hii kitu
Usijute mkuu. Umaskini tumezaliwa nao, pambana
 
Daaaah πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…