Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nyembe tunaagiza nje😆😆😆😆Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ok,sawa si waanze na ya mtu mmoja kwanza?Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Boeing/airbus zahamia Vigunguti. Hilo nalo nenoNadhani SIDO ingejikita kuendeleza viwanda vidogo vidogo badala ya kutengeneza mwanya wa kupiga hela za walipakodi kwa kisingizio cha kutengeneza ndege. Hilo wazo lao ni sahihi katika muda ambao sio sahihi.
Familia zao tuOk,sawa si waanze na ya mtu mmoja kwanza?
Wazo zuri sana hiliWaanze na kutengeneza basi za muendo kasi kuokoa pesa ya mlipa kodi ndege badaye.
Hiyo ndege ianze kwa kumbeba rais na mawaziri wake wote na AbdulKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hapa tunapigwa asubuhi mapemaaa! Fedha za hongo ya uchaguzi zinatafutwa kwa udi na uvumba!Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Kumbuka huu ni mwaka 2024 sio 4202Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hii hii sido ya kutengeneza sabuni za kudekia vyoo na magwanji!?Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Labda ibebe abiria kwenda MloganzilaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.