Sidumu kwenye mahusiano

•Kwa sasa, focus kwenye maisha yako, malengo, na kujijenga kwanza. Mahusiano bora yatakuja wakati uko tayari na unapokutana na mtu sahihi.

•Kaka, kosa lako ni kuingia kwenye mahusiano na binadamu badala ya robots 😂!

Robots ni zero emotional - Focus kwanza kwenye kusaka noti, maana hela haina wivu wala dharau.

Ila Mapenzi? Acha yajipange yenyewe— wanawake ni kama Wi-Fi password ya Ikulu.

Au ni sawa na kwenda Airpot na Tiketi ya boti 😂!
 
Sawa bro ila tatizo kuna mda nikiona watu wapo kwenye relationship najiuliza kwanini sio mimi? Kweli nimeamini unaweza kuwa na upendo wa dhati na bado usipate mtu anaejali hisia zako, tatizo nikisema nisiwe na dem nitaingia kwenye maovu kama nyeto na kununua prostitutes kitu ambacho sikitaki kabisa
 
Ngoja kwanza, mzigo umewahi kula kati ya hao watajwa?

Caution: Kichwani nina 20% za alcohol tayari, kadiri tunapoendelea tunaweza
tusielewane😂!
 
The problem

nadhani umekaa hapo unajadili mapungufu ya hao wenzako vipi wewe ? kwa hizo relstionship you were perfect?? vipi umekaa kujiuliza na wewe unakwama wapi?

kingine sisi hatupend manipulation sana yaan unakua na mwanaume yeye ni ku-order tu na anataka hizo ordering zote uzifuate, ndo mnaita eti heshima 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…