Uchaguzi 2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

Aangalia tu idadi ya comments na views za mada zinazuhusu Lisu utagundua kuwa chadema iko Death bed.Angalia hata hii tu
Mmh! Unajipa moyo kwa idadi feki za duplications za wana fc lumumba?? Mitandaoni tunaongoza, mitaani ndio usipime. Mnaishia kusema ooh wapinzani wa mitandaoni.
 
Tundu Lissu sio tu ni jasiri bali pia ana uwezo mkubwa wa kiakili. Ana utulivu wa moyo na akili. Ana uwezo wa negotiation na hashindwi. Haamini ktk visasi na malipizo ya mabomu, bunduki, mapanga na aina nyingine za mateso na manyanyaso.
Umemaliza .
 
6 msaliti wa taifa
 
Cheyo, kwa herufi kubwa, aeleza sifa mbaya aliyonayo T.A.L.
Cheyo ni kipimo bora kabisa cha mzee mpumbavu. Kama anamkubali magu kwa kiwango hicho sii ajiunge kabisa na ccm?
Unamsifu MTU hadi mwenyewe unayemsifu anakuona mpuuzi! Uzee wa aina hii ni bora MTU usiufike ujifie tuu kuliko kupeleka mvi zako kwa aibu kaburini.
 
Unalishwa maneno nawe unayala tuu bila kutafakari. Huo ni upumbaf kwa binadamu mwenye ubongo kufanya
Hawana hoja hata moja ya kumpinga Lissu. He is very clean. Wamebaki kuokoteza vimaneno vya jumlajumla tu.
 
TUNDU LISSU NI MGONJWA WA AKILI,KWELI AWE RAIS WA TANZANIA!?,.HUYU LISSU MBABAISHAJI NA MPIGA POROJO?!, LABDA AWE RAIS WA YANGA AU WA SIMBA,KUWA RAIS WA TANZANIA,NI NDOTO ZA MWENDAWAZIMU,
 
Hiyo ni myth. Jpm alipata urais kutokana na mizengwe iliyokuwepo kati ya Membe na Lowasa. Aliuangukia tu kwa bahati. Muone anavyojifanya mjanja lakini hana lolote
Sasa hivi anatumia hela nyingi na kujipendekeza kwa wasanii ili wamuimbe akidhani ndio atakubalika. Anachofanya ni kuwaharibia tuu hao watoto vipaji na nyota zao.
Siasa za kisanii au usanii wa kisiasa haujawahi kumuacha MTU salama. Kumbuka kina Mallow, Msechu nk
 
Na hilo burungutu hapo chini ni nini??[emoji2][emoji2]
Hiyo kule pwani ndio umwinyi huo!
Lipumba hill bulungutu mwisho wake atakuwa analipakia kwenye wheelbarrow yeye mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…