Uchaguzi 2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
TUNDU LISSU NI MGONJWA WA AKILI,KWELI AWE RAIS WA TANZANIA!?,.HUYU LISSU MBABAISHAJI NA MPIGA POROJO?!, LABDA AWE RAIS WA YANGA AU WA SIMBA,KUWA RAIS WA TANZANIA,NI NDOTO ZA MWENDAWAZIMU,
Mkuu mbona una kommenti huku umepaniki kunywa maji kwanza. Au wewe mshabiki wa yanga nini.
 

Naunga mkono hoja.
 
TUNDU LISSU
1. ANA AKILI NYINGI SANA
2. MZALENDO KWA VITENDO
3. MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU
4. MPENDA MAENDELEO
5. MSIMAMIZI HALISI WA RASLIMALI ZA NCHI
6. MTETEZI WA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI. ANAPENDA UTAWALA WA SHERIA
7. MPENDA DEMOKRASIA

Hakika nchi inapaswa kujivunia kua na mtu km Tundu Lissu.
Lussu for presidence 2020
 
Mkuu umenifurahisha sana kwa jinsi ulivyofanya summary nzuri.

Huyo ndiye Rais tumtakaye
 
Wanatapatapa. 5yrs now wasanii kawaona leo. Ameharibu uchumi wasanii wananjaa sana. Tangu aingie madarakani hakuna msanii amehit hata mmoja. Hakuna tamasha wamefanya kuingiza kipata hata walipojaribu zilidoda, Wakapata hasara. Waliandaa tamasha lingine likazimwa pale Leaders club kwa kiki za Rc Makonda. Wasanii wako hoi choka mbaya. Kwa sasa wanajaribu kutafuta pa kuchomokea kwa aliyewaharibia.
 
Mliutumia vibaya uungwana wa Kikwete, mkamuona dhaifu. JPM kawadhibidi kila kona, mmebaki kutapatapa.
Kwa hii miaka mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya pesa zote zilizoibwa kwa awamu zote tangu uhuru, unapata wapi ujasiri wa kutetea na kusifu MHALIFU wa namna hii?

Kichwani zimo kweli ama ndio ukosefu wa ajira unakufanya ujitoe ufahamu tu? Uwe kama zuzu?
 
TUNDU LISSU
1. ANA AKILI NYINGI SANA
Hakika nchi inapaswa kujivunia kua na mtu km Tundu Lissu.
Lussu for presidence 2020
Ugombea uraisi sio shindano la Kutafuta mwenye IQ kubwa!!!!! sio IQ TEST COMPETITION!!!
 
Hivi nyinyi akili zenu zinawatosha? Nchi ina Rais bora kabisa kwasasa, nyie mnataka kutuletea wendawazimu.

Kama mnamuona anafaa mbona hamjampa chama chenu kwanza akiongoze tuone. Hii nchi siyo ya majaribio
 
mpaka hii dunia inafika mwisho wake lissu hatawahi kua prezident, ana qualities nyingi za kua president ila timing tu ndo mlikosea, 2015 ndo ulikua mwaka wa kumtumia lissu vizuri, kwa saaahv izi novel unaandika huku forum hazisaidii chochote maaana hata ivo kuna mjadala unaoendelea wa kumuongea magu mda wa ziada mpaka atakapochoka kua raisi, najua mpaka huo mda unafika lissu atakua ashazeeka atakua lowasa wa kipindi icho but ni kiongozi mzuri

kwa nchi za afrika kiongozi anaehitajika ni magufuli, hizi sera sjui ana moyo mzuri hana visasi ndo vinasababisha nchi inalala mtu kama magufuli ni mtu wa kurusha watu mchakamchaka ofwhich is good! its very good to go that extra mile katika maisha but for the time saaahv sidhan kama anaweza kuja kua raisi maaana idadi ya watu wanaomkubali president its just insane
 
TL angeweza kuwa Rais kama angekuwa kwenye chama chenye Siasa za Maendeleo hata yeye anajua anajua kwamba chama chake ni cha kianaharakati. Mwanaharakati huwa hana agenda ya maendeleo yeye huwa ni kukosoa wenzake tu. CDM kinaingia uchaguzi mkuu bila ilani ya uchaguzi hii ni hatari.


TL hata hotuba yake aliiffanya juzi inaonesha jinsi gani ni mwanaharakati -- Hotuba yote ni kumponda JPM wala hana mda na kutafuta namna ya kukidhi haja za WaTZ.

JPM anajua shida za WTZ na ndio maana approval rate yako iko juu sana. Hili Halina mpinzani.

TL aende chama cha ukombozi na sio cha uanaharakati.
 
Hivi nyinyi akili zenu zinawatosha? Nchi ina Rais bora kabisa kwasasa, nyie mnataka kutuletea wendawazimu.

Kama mnamuona anafaa mbona hamjampa chama chenu kwanza akiongoze tuone. Hii nchi siyo ya majaribio
Hayo ni yako. Watanzania wamechoshwa na ulaghai wa ccm. Miaka 50 na zaidi mnapiga porojo tu.
 
TL anakuja. Kujua moto wake utaona ty jinsi vikosi vyote vya dola vitaelekeza nguvu dhidi yake. Hapo ndipo utajua TL ni nani. TL anamkosoa JPm kwani ndani ya chama hicho nani anamthubutu?? Nyote mmekuwa mabubu hata akiwanyea vichwani mtapiga mapambio tu
 
Magu ukiachana na vigelegele vya madc na waNec ambao nao wanalinda matumbo yao amechokwa chakali. Uliona mikutano yake juzi Morogoro Kilombero ulilivyododa ungedhani ni mkutano wa diwani kumbe ni wa Rais. To make things better alitembea na baraza zima la mawaziri but things did not change. Ktk kujaribu kuleta mvuto kwa wananchi akajikuta anataka kumtumbua DED mbele ya wananchi akidhani anavuta attention yao. Alisikika akilaum eti mbona mkutano ule hakuna wanaume?? Na kwa nini hawamsililiz wanajichekea tu vichekesho?? Hali ikifika pale kama Rais inabidi ujitafakari.

Ya Jafo Juzi arusha umeyasikia??😁😁
 
They are professional thieves. They rob every thing. They even rob from the blind.

2020 ndio mwisho wa majizi , mazalendo fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…