Sasa mwanaume hafanyi hivo....mwanaume hafanyi hivyo mkuuSio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
😂hivi wana nn wale
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Taikon wa fasihi kawavuruga naona mnajibu mapigo sasa mmeamua mjitokeze wazi wazi
Aje atajibiwaNgoja tumuite M/kiti wetu ROBERT HERIEL aje ajibu uzi wako kwa niaba yetu.
Ety kuna mkaa juzi kasema ye kaweka kijiti ataki kuzaa ovyo ovyo.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Single mothers mumeamua kutujia kwa njia ya Maridhiano??😂😂😂kuna wanaume ni wanaume....mpaka kuwa nae unaogopa unahisi matendo yako ya nyuma kuwa nae unamkosea sana....Yaan unawaza kwanini hakuwa yeye before....Be a man mkuu
Mwanaume hategemei mawazo ya Mwingine mkuuNgoja tumuite M/kiti wetu ROBERT HERIEL aje ajibu uzi wako kwa niaba yetu.
Wadada wameamua kufunguka 2023 hawataki tena kujibanabana...Well said[emoji1490][emoji1490][emoji1490]unakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mate….SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES [emoji57]
😂subirini Dawa iwakoleeWadada wameamua kufunguka 2023 hawataki tena kujibanabana...
Juzi hapa dada kalalamika kweli jamaa hadisi, yaani kidudu kimesinyaa mzigo hapigi tena [emoji1787][emoji1787]
2023 inakuja kwa namna yake[emoji1787]
Sasa ni lazima ukimtaka mtu akukubali????Sio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
Vijana wamevuta hendo, kazi kwenu wadada.[emoji1787][emoji1787][emoji23]subirini Dawa iwakolee