"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

Kuna mahali nimesema kujiundia kitaasis changu?
Let me put this straight tls inatambulika kisheria, na wana chaguzi zao, hawakuamka na kijitungia kichwani.
Hizo hizo sheria zilizowekwa ndio watakazo fata, figisui na vingine havina nafasi
Narudia tena hizo sheria zilizotungwa ndizo zitakazo tumika period

No time fo figisu or kujipendekeza kama taasis zingine. No time
 
Kwani excitement wanayoipata CCM wakishinda ubunge na urais huja na impact gani?
 
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake

A fuss about nothing

A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Mazingira ya wakati ule ni tofauti na sasa. Leo High court imeipiga chini serikali katika kesi ya Mwabukusi kuenguliwa. Wakati wa magufuli hii isingelitokea maana serikali ilikuwa imenuia kumwengua Mwabukususi! Hiyo let us wait and see!
 
Naunga mkono hoja
 
Mazingira ya wakati ule ni tofauti na sasa. Leo High court imeipiga chini serikali katika kesi ya Mwabukusi kuenguliwa. Wakati wa magufuli hii isingelitokea maana serikali ilikuwa imenuia kumwengua Mwabukususi! Hiyo let us wait and see!
Magufuli hakuwa na muda wa kuingilia mambo ya TLS ndio maana wakosoaji wake wakubwa Lissu na Fatma Karume uraisi wao ulikuwa kipindi chake.

Hata ilo Sakata la Mwabukusi ni mambo ya siasa za TLS tu, sema mnayakuza sana.
 
A
A very good analysis. Hata lisu aliwahi kusema mje kwa wingi mpige kura. hata wakiiba itafika mahali kura fake zitakuwa chache kuliko halali. Mfano mmepenyeza kura 1,000 fake, lakini wapiga kura ni 5,000. kura za halali za wapinzani.............fanya mfanyavyo mkija kuhesabu margin itakuwa kubwa sana kuliko kura fake! mtashinda!
 
Section 04- Mawakili wana wajibu wa kulinda na kutetea UTAWALA WA SHERIA.

Nchi ikikiuka utawala wa sheria, TLS ina wajibu wa kuikosoa serikali ikewemo kwenda Mahakamani.

Hii fukuza fukuza ya Wamasai kwenda Tanga, ni ukiukwaji wa utawala wa sheria.

Pia, Mkataba wa kijinga ( Bogus treaty) DP World, TLS inawajibu wa Kuishauri na kuikosoa Serikali.

Naamini Mwabukusi anatetea vizuri section 04 ya TLS.
 
Goodluck in your endeavours mimi ni nani nikubishie.

Ngoja tuone
 
Magufuli hakuwa na muda wa kuingilia mambo ya TLS ndio maana wakosoaji wake wakubwa Lissu na Fatma Karume uraisi wao ulikuwa kipindi chake.

Hata ilo Sakata la Mwabukusi ni mambo ya siasa za TLS tu, sema mnayakuza sana.
Rafiki mbona unatoka kwenye uhalisia? Lisu akapigwa risasi, Fatuma akanynganywa leseni halafu useme magufuli hakuwa na time nao? aliwaacha, he did not deal with their presidency akijua kuna njia mbadala za kuwa eliminate!
 
Ndio haya ya ‘expectation gap’, good-luck.

Kama unadhani serikali aina mandate ya kufanya maamuzi ya matumizi ya ardhi.
 
Mimi nimeongelea minimal impact ya raisi wa TLS kwenye siasa za Tanzania kwa mamlaka yake.
Hii 'minimal impact' ni ipi? Hawa TLS walishawahi saidia wapi? Msiwarembe sana waambieni ukwel hawana impact yeyote Katika jamiii
 
Kwanini alimpiga Risasi?

Huna unachokijua wewe.

Nchi inaendeshwa kwa Misingi ya Sheria.

In fact, sheria ni sekta nyeti hapa nchini.

Uliwahi jiuliza kwanini kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye yumo kwenye Katiba, anaingia bungeni na yumo kwenye Baraza la Mawaziri?
Kwanini hatuoni nafasi zingine za kitaalamu ziwe nyeti kama sheria? Afya, elimu etc
 
Tofauti ya watu 500 na hapo bado wameiba wamuongezee Hadi hizo 800, khaaah hongera wanasheria Kwa kuweka uchawa pembeni
 
Rafiki mbona unatoka kwenye uhalisia? Lisu akapigwa risasi, Fatuma akanynganywa leseni halafu useme magufuli hakuwa na time nao? aliwaacha, he did not deal with their presidency akijua kuna njia mbadala za kuwa eliminate!
Hoja ni kwamba akuzuia ushindi wao, mengine ni kutumia yake.

Jumamosi njema 👋
 
Hapo wameadjust matokeo ili kulinda heshima ya Nkuba 😀😀uhalisia
mwabukusi 1900
Nkuba 225
Waliobaki 5
Zilizoharibika 3
 
Ufurahishwe usifurahishwe Sisi haitusaidii hiyo.pointless
 
Huna unachokijua.

TLS imeanza kabla ya hiyo Katiba unayoitaja, imeanza kabla ya Tanzania, imeanza kabla ya Nyerere kuwa Rais.

Tawala zote za Tanzania imeikuta TLS, kwasababu ilianzishwa by the Act of Parliament,1954.

Rais wa TLS enzi za Nyerere, Wolfgang Duorado, alishinikiza Serikali ibadili Katiba na Kuweka haki za binadamu kwenye Katiba.

Serikali ilimuweka kizuizini, cha ajabu baadae Serikali ilifuata mapendekezo ya TLS chini ya Wolfgang Duorado, ikewemo.

Kuwekwa haki za binadamu kwenye Katiba ( Bill of Rights), 1986.

Kuanzishwa vyama vingi vya siasa,1992.

Tume huru ya Uchaguzi.

Vitu ambavyo vipo kwenye Katiba yenu ya leo.
Hayo yote yalikuwa mashinikizo ya awali ya TLS na Serikali ilikuja kuyafuata baadae.

Unaongea hujui anything kuhusu historia ya hiii nchi kwenye tasnia ya Sheria. Brace off your ignorance imbecile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…