Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Pole mkuu,
Itabidi nawe utafute mume wa kwenye Bible, sijui anatoka kitabu gani manake sio Suleiman wala Daudi walikula K moja tu. Labda Job manake sikusikia kashfa yake.
[emoji1787]job wa yanga au yule dom
 
Pole mkuu,
Itabidi nawe utafute mume wa kwenye Bible, sijui anatoka kitabu gani manake sio Suleiman wala Daudi walikula K moja tu. Labda Job manake sikusikia kashfa yake.
[emoji1787]job wa yanga au yule wa dom
 
Achana na ma ex zako. Kumbe we bado hujawajua wanaume eeeh! Wanakwambia hivyo kwa sababu baadhi yao bado wana matumaini ya kukutafuna tena.

Na kwa nini bado unawasiliana na ma ex zako wakati upo kwenye mahusiano tena siriazi. Imeandikwa wapi kwenye Mithali 31 kwamba mke mwema ataendelea kuwasiliana na ma ex zake (lukuki)?

Kamwe usijenge ego yako kwa kutegemea sifa za mgongo wa chupa wanazokupaka hao ma ex wenye malengo yao binafsi kwako.

Msikilize mwamba (sijamuita boya) maana tayari nimeanza kuhisi kuwa kuna kitu hakiko sawa (hasa kwa upande wako). Endelea kujitafuta na kujitathimini isije ikawa umejipachika tu bure hicho cheo cha umwanamke wa Mithali 31; na jamaa keshausoma mchezo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Una point [emoji2935]
 
Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).

Pole sana dear.
Tatizo linaanzia hapo ulipoanza kujiamini kupita kiasi mbele ya mwanaume ambaye hauoni hizo sifa kwako.
 
Siwezi kusema kiundani ila kutokana na sababu fulani fulani amepata picha mbaya kuhusu mimi.Kibinadamu yuko sawa kudhani niko hivyo wala hana makosa ila kiuhalisia siko anavyodhani tatizo yeye sio Mungu kuona ambavyo upeo wa macho ya binadamu hauwezi kuona.Kinachoniuma ni kwamba nampenda sana na amekua mtu mzuri sana kwangu ila sina jinsi yakumtoa imani mbaya aliyoijenga juu yangu.

Vitalis Msungwite hii
Pole sana mdada wengi huwa tunahukumu kwa tunayoyaona hasa mtu awe na mashaka juu ya jambo fulan hata kama hatujajua ni kipi kimesababisha jambo hilo likatokea uongo siku zote una kasi ya kukubaliwa zaidi ya uhalisia muombe MUNGU akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu hakika kwake hakuna lakumshinda naimani atakuhepushia

I can feel your pain sisy [emoji19]
 
mkuu huyu kaliwa.asinge kuwa hajaliwa angenyoosha maelezo kwenye posti yake sio Hadi tumchimbe ndio aongee.
Mkuu kwanini umekua very rude kwangu?

Mimi nina mapungufu yangu mengine ila la kulalwa hovyo sina.
 
Na huenda ukaribu na ma ex jamaa anahisi bidada anaendelea na mahusiano nao. Hivyo anafikia hitimisho kuwa Huyu ni wale wale. Piga hesabu Kama wapo 10 au 20 na wote anawasiliana nao utajiita una mchumba hapo kweli?
Jamani.
Ma Ex 10?

Wawili tu na sina mawasiliano nao
 
wataalam tuko hapa funguka usaidiwe amekua na imani mbaya kwako kwa sababu gani? je unahitaji msaada namna ya kumuaminisha upya? karibu kwa msaada zaidi
 
Mara ya mwisho nimempa ushahidi wa jinsi nimetongozwa nikakataa hilo nikadhani natengeneza kumbe mwenzangu akaliangalia lile tukio kwa angle nyingine nalo likawa sehemu ya tabia zangu mbaya.Na kweli kiuhalisia njia niliyotumia kupata huo ushahidi haikua ya kistaarabu na sio tabia yangu kuwafanyia watu hivyo ila ndo yeye kashaamini niko hivyo na sina uwezo wa kumprove wrong.

NIMEKOMA..Sitamwambia tena mwanaume nikitongozwa cha msingi najua sina tabia ya usaliti basi
Usifunguke sana basi [emoji23],hebu tuzoee kidogo ...

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
wait kwanza, ulianzaje anzaje nawewe kumuambia mwanaume umetongozwa? uliulizwa au ndo ile kutaka kuonekana unakataaga ukitongozwa unajisemelea mwenyewe nimetongozwa nika kataa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Natongozwa mara kibao simwambii ila huyo niliona kuna ulazima wa kumwambia
 
wataalam tuko hapa funguka usaidiwe amekua na imani mbaya kwako kwa sababu gani? je unahitaji msaada namna ya kumuaminisha upya? karibu kwa msaada zaidi
Nishakaribia mkuu.
 
Back
Top Bottom