Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Kuna kitu hakiko sawa japo hataki kukisema maana hata maelezo yake hayajanyooka. Tena kimetokea huko huko kanisani kwao na mwamba kajua...na hawa ma ex wanaomjaza upepo hawa ndo kabisaa wanazidi kuharibu!
Siwasiliani na ma ex na sina baya lolote nafanya kanisani
 
funguka tujue tunaanzia wapi ukihitaji tiba ya kweli epuka kuficha ficha mambo. kama haupo huru kuandika hapa karibuni ofisini
Ofisi yenu inajihusisha na nini na iko wapi?
 
Historia imekuhumu?? Au ni wewe kutaka kuongeza sukari ukazidisha ikawa shubiri??

Kama unampenda mwambie awazacho sicho. Ila kukaa kimya hicho ni kiburi na kufanya aamini kile alichokutuhumu nacho.
Pateni mahali muongee, hapo juu umesema una maex 2 na huyu anakua wa 3 na wote hao umesema ni watu wa sala na kanisani.

Wewe huoni kwamba hawa watu wanaoneshwa na Mungu kwamba wewe sio mtu sahihi kwao?? Au Mungu wako wewe ni mkuu sana anakuepusha na hao watu sasa basi kwanini asikukutanishe na yule wa kudumu nae badala yake unapitishwa kwenye mahusiano lukuki??

Sio vyema kua na msururu wa wanaume(ma ex) ambao huenda wamekulala mara kadhaa.

Vipi kama mngekua na ndoa, mngeivunja kisa huyo unaamini huyo jamaa hawezi kukuamini, unaamini ataamini unapretend realy??

Huyo jamaa anakufaa, acha kiburi, jieleze.
 
Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).

Pole sana dear.
Tatizo linaanzia hapo ulipoanza kujiamini kupita kiasi mbele ya mwanaume ambaye hauoni hizo sifa kwako.
Tatizo kinasababishwa na jinsi tulivyokutana.
The way tume meet imeathiri saikolijia yangu
 
Historia imekuhumu?? Au ni wewe kutaka kuongeza sukari ukazidisha ikawa shubiri??

Kama unampenda mwambie awazacho sicho. Ila kukaa kimya hicho ni kiburi na kufanya aamini kile alichokutuhumu nacho.
Pateni mahali muongee, hapo juu umesema una maex 2 na huyu anakua wa 3 na wote hao umesema ni watu wa sala na kanisani.

Wewe huoni kwamba hawa watu wanaoneshwa na Mungu kwamba wewe sio mtu sahihi kwao?? Au Mungu wako wewe ni mkuu sana anakuepusha na hao watu sasa basi kwanini asikukutanishe na yule wa kudumu nae badala yake unapitishwa kwenye mahusiano lukuki??

Sio vyema kua na msururu wa wanaume(ma ex) ambao huenda wamekulala mara kadhaa.

Vipi kama mngekua na ndoa, mngeivunja kisa huyo unaamini huyo jamaa hawezi kukuamini, unaamini ataamini unapretend realy??

Huyo jamaa anakufaa, acha kiburi, jieleze.
Hao wengine tulitengana kwa sbb tu za kutafuta maisha ila sio kwa kushindwana.

Sina kiburi mkuu.
Nimefanya yote unayonishauri
 
Back
Top Bottom