KIKI CORAL
Senior Member
- May 10, 2023
- 183
- 313
funguka tujue tunaanzia wapi ukihitaji tiba ya kweli epuka kuficha ficha mambo. kama haupo huru kuandika hapa karibuni ofisiniNishakaribia mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
funguka tujue tunaanzia wapi ukihitaji tiba ya kweli epuka kuficha ficha mambo. kama haupo huru kuandika hapa karibuni ofisiniNishakaribia mkuu.
Siwasiliani na ma ex na sina baya lolote nafanya kanisaniKuna kitu hakiko sawa japo hataki kukisema maana hata maelezo yake hayajanyooka. Tena kimetokea huko huko kanisani kwao na mwamba kajua...na hawa ma ex wanaomjaza upepo hawa ndo kabisaa wanazidi kuharibu!
Tatizo kinasababishwa na jinsi tulivyokutana.Kila nikiisoma hii Methali najiona nikilandana na huyu mwanamke kwa 97% na tena nasema kwa kujiamini kuwa nimemzidi mwanamke wa Mith. 31-10-31 kwa ubora....(YES).
Pole sana dear.
Tatizo linaanzia hapo ulipoanza kujiamini kupita kiasi mbele ya mwanaume ambaye hauoni hizo sifa kwako.
Hao wengine tulitengana kwa sbb tu za kutafuta maisha ila sio kwa kushindwana.Historia imekuhumu?? Au ni wewe kutaka kuongeza sukari ukazidisha ikawa shubiri??
Kama unampenda mwambie awazacho sicho. Ila kukaa kimya hicho ni kiburi na kufanya aamini kile alichokutuhumu nacho.
Pateni mahali muongee, hapo juu umesema una maex 2 na huyu anakua wa 3 na wote hao umesema ni watu wa sala na kanisani.
Wewe huoni kwamba hawa watu wanaoneshwa na Mungu kwamba wewe sio mtu sahihi kwao?? Au Mungu wako wewe ni mkuu sana anakuepusha na hao watu sasa basi kwanini asikukutanishe na yule wa kudumu nae badala yake unapitishwa kwenye mahusiano lukuki??
Sio vyema kua na msururu wa wanaume(ma ex) ambao huenda wamekulala mara kadhaa.
Vipi kama mngekua na ndoa, mngeivunja kisa huyo unaamini huyo jamaa hawezi kukuamini, unaamini ataamini unapretend realy??
Huyo jamaa anakufaa, acha kiburi, jieleze.
Kigoma mjini karibu na stesheniOfisi yenu inajihusisha na nini na iko wapi?
nakuuliza hivi Ili nipate kukushauri vizuri mkuu.wala sikutukani mkuu.naomba unijibuNikisema niliolewa nikaachwa utanitukana na nikisema tulikua tuna enjoy tu utanitukana pia
sawa mkuu ila jibu maswali basiiMkuu kwanini umekua very rude kwangu?
Mimi nina mapungufu yangu mengine ila la kulalwa hovyo sina.
mkuu kwanini unamcheka mithali lady?Mkuu tumecheka wote
Acha uwoga wakuweka mambo wazi ndio mana mshkaji hakuelewi elewi.ili unitukane 😁😁