Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

Kwahiyo mwaka 2015 wapinzani mkiongozwa na Mbowe, Lisu nk mlitaka watanzania na akili zetu tumchague Lowasa ili nchi yetu iongozwe na raisi fisadi au sio?

Afu bado kuna watu wana amini kuwa wapinzani hao ni wazalendo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mimi sio mpinzani, na sio mwanasisiemu. walichofanya chadema ni mbinu za kivita tu, baada ya kuona lowasa anakubalika, wakajaribu pengine wangechukua nchi kupitia yeye, kisiasa hakunaga adui au rafiki wa kudumu. pia, hakuna ubishi chadema walifanya makosa kipindi kile ila hiyo haiondoi tuhuma walizompa.kuna wakati unaweza hata kuungana na adui yako ili kumshughulikie adui mwingine.
 
Washukuru mama hana moyo wa joto. Otherwise wangekuwa wananyea debe sasa hivi. Na zile milioni 10 za mboga angezirudisha.
 
Nakubaliana na wewe mkuu kwamba katika siasa hakuna adui wa kudumu, na ile waliyotumia ilikuwa mbinu ya kivita, lkn ni mbinu ya kipumbavu kwa sababu nchi yetu ilikuwa inakwenda kuangukia katika mikono ya mtu hatari zaidi.

Hebu fikiria Lowasa angeshinda uraisi hali ingekuaje huko ikulu?
 
lakini kwa wenye akili, wanajua kuwa lowasa alishinda ule uchaguzi. ndio maana walitangulia kwenda kudaka computer na vituo vya wahesabu kura wake, akabaki mdomo wazi. ila ukweli nikwamba aliwashughulikia sana.
 
lakini kwa wenye akili, wanajua kuwa lowasa alishinda ule uchaguzi. ndio maana walitangulia kwenda kudaka computer na vituo vya wahesabu kura wake, akabaki mdomo wazi. ila ukweli nikwamba aliwashughulikia sana.
Asikudanganye mtu Lowasa hakushinda ule uchaguzi. Mwenyewe umeshaandika hapo juu kwamba Lowasa ni fisadi, sasa ni mtanzania gani mwenye akili angemchagua Lowasa? Wangemchagua ili iweje na kwa faida gani?

Tatizo kila siku mnadanganywa na wanasiasa, lkn bado tu hamjifunzi. Ukweli ni kwamba mtu yoyote anaposhindwa ni lazima atakataa kuwa alishindwa, atasema tu kwamba alishinda.

Mwaka 1995 Mrema alisema kwamba alishinda akaibiwa kura, mwaka 2000 na 2005 mfululizo Lipumba alisema kwamba alishinda akaibiwa kura, mwaka 2010 Slaa pia alisema kuwa alishinda akaibiwa kura, halikadhalika mwaka 2015 Lowasa anasema alishinda akaibiwa kura, mwaka 2020 pia Lisu anasema alishinda akaibiwa kura.

Kwahiyo hakuna uchaguzi ambao mpinzani alishindwa akakubali. Na hii sio Tanzania pekee hata Marekani Trump alishindwa ila akadai kuwa alishinda akaibiwa kura na wakati yeye ndo alikuwa raisi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio wapumbavu tu, sema wamerogwa kabisa. Haiwezekani watu na akili zao wameshindwa kujifunza kupitia tukio la Lowasa kuanzia kuitwa fisadi papa, hadi kupewa ticket ya kugombea uraisi wa Tz πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli nchi hii ina wap*umba*vu wengi.
 
Na huu ndio ukweli sasa
Kunyaland wana hasira sana tumeshtuka, walitunyonya sana, sasa basi
Kila kitu kina mwisho wake. Safari hii kila hujuma wanayofanya kupitia mapandikizi yao tunaigundua na kuisambaratisha kama chumvi inavyosambaratishwa na maji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…