Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

Kwahiyo mwaka 2015 wapinzani mkiongozwa na Mbowe, Lisu nk mlitaka watanzania na akili zetu tumchague Lowasa ili nchi yetu iongozwe na raisi fisadi au sio?

Afu bado kuna watu wana amini kuwa wapinzani hao ni wazalendo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
mimi sio mpinzani, na sio mwanasisiemu. walichofanya chadema ni mbinu za kivita tu, baada ya kuona lowasa anakubalika, wakajaribu pengine wangechukua nchi kupitia yeye, kisiasa hakunaga adui au rafiki wa kudumu. pia, hakuna ubishi chadema walifanya makosa kipindi kile ila hiyo haiondoi tuhuma walizompa.kuna wakati unaweza hata kuungana na adui yako ili kumshughulikie adui mwingine.
 
Watanzania originally wameinuka sasa, kile kimbaumbau na shemegie na kikundi chao walidhani watu bado wamelala?
Ni zamu yao sasa kuonja mateso waliyowapa watanzani miaka dahari
Wakati wao wakila mboga ya millioni kumi wenzao waliishia makande, sasa ni either wale makande au warudi zao rwanda huko, wanyonyaji kabisa kupitia mgongo wa dini
Mama twende kazi pamoja sanaaaaa
Washukuru mama hana moyo wa joto. Otherwise wangekuwa wananyea debe sasa hivi. Na zile milioni 10 za mboga angezirudisha.
 
mimi sio mpinzani, na sio mwanasisiemu. walichofanya chadema ni mbinu za kivita tu, baada ya kuona lowasa anakubalika, wakajaribu pengine wangechukua nchi kupitia yeye, kisiasa hakunaga adui au rafiki wa kudumu. pia, hakuna ubishi chadema walifanya makosa kipindi kile ila hiyo haiondoi tuhuma walizompa.kuna wakati unaweza hata kuungana na adui yako ili kumshughulikie adui mwingine.
Nakubaliana na wewe mkuu kwamba katika siasa hakuna adui wa kudumu, na ile waliyotumia ilikuwa mbinu ya kivita, lkn ni mbinu ya kipumbavu kwa sababu nchi yetu ilikuwa inakwenda kuangukia katika mikono ya mtu hatari zaidi.

Hebu fikiria Lowasa angeshinda uraisi hali ingekuaje huko ikulu?
 
lakini kwa wenye akili, wanajua kuwa lowasa alishinda ule uchaguzi. ndio maana walitangulia kwenda kudaka computer na vituo vya wahesabu kura wake, akabaki mdomo wazi. ila ukweli nikwamba aliwashughulikia sana.
 
Asikudanganye mtu Lowasa hakushinda ule uchaguzi. Mwenyewe umeshaandika hapo juu kwamba Lowasa ni fisadi, sasa ni mtanzania gani mwenye akili angemchagua Lowasa? Wangemchagua ili iweje na kwa faida gani?

Tatizo kila siku mnadanganywa na wanasiasa, lkn bado tu hamjifunzi. Ukweli ni kwamba mtu yoyote anaposhindwa ni lazima atakataa kuwa alishindwa, atasema tu kwamba alishinda.

Mwaka 1995 Mrema alisema kwamba alishinda akaibiwa kura, mwaka 2000 na 2005 mfululizo Lipumba alisema kwamba alishinda akaibiwa kura, mwaka 2010 Slaa pia alisema kuwa alishinda akaibiwa kura, halikadhalika mwaka 2015 Lowasa anasema alishinda akaibiwa kura, mwaka 2020 pia Lisu anasema alishinda akaibiwa kura.

Kwahiyo hakuna uchaguzi ambao mpinzani alishindwa akakubali. Na hii sio Tanzania pekee hata Marekani Trump alishindwa ila akadai kuwa alishinda akaibiwa kura na wakati yeye ndo alikuwa raisi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sio wapumbavu tu, sema wamerogwa kabisa. Haiwezekani watu na akili zao wameshindwa kujifunza kupitia tukio la Lowasa kuanzia kuitwa fisadi papa, hadi kupewa ticket ya kugombea uraisi wa Tz ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kweli nchi hii ina wap*umba*vu wengi.
 
Na huu ndio ukweli sasa
Kunyaland wana hasira sana tumeshtuka, walitunyonya sana, sasa basi
Kila kitu kina mwisho wake. Safari hii kila hujuma wanayofanya kupitia mapandikizi yao tunaigundua na kuisambaratisha kama chumvi inavyosambaratishwa na maji ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ndugu zangu katika maisha yangu yote sijawahi kushuhudia vita nyepesi, na ya kipuuzi kama hii. Vita hii ni tofauti na ile ya kisiasa ya Sudan kati ya kiongozi wa RSF jeneral Mohamed Hamdan "Hemedti" Dagalo, dhidi ya jeshi la taifa la Sudan linaloongozwa na jeneral Abdel Fattah al - Burhan.

Vita hii ninayoizungumzia hapa ni vita ya kiuchumi kati ya wananchi wa Tanzania milioni 60 tukiongozwa na kiongozi wetu wa nchi, amiri jeshi na raisi wetu mheshimiwa Dr Samia Suluhu Hassan, dhidi ya maadui wa taifa, wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wakwepa ushuru na kodi wa bandarini na chawa wao wasizidi hata elfu 10 nchini wakiongozwa na wanasiasa uchwara, mawakili njaa na boss wao anaewapa hela ya kupambana na serikali, huyu sio mungine bali ni mh Karamagi.

Sasa vita ya namna hii kwangu mimi naiona nyepesi Sana, sababu mahali popote duniani ukiona serikali ya nchi fulan inaingia vitani, huku ikiwa na support kubwa ya wananchi, basi uwezekano wa kushinda vita hiyo ni mkubwa kuliko ukubwa wa neno lenyewe.

Tumeona jinsi mkutano wa leo huko Bukoba kwao na yule mama wa mboga mboga ulivyowadhalilisha waandaji.

Anyway acha niache watu waone matokeo.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom