Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ahsante ila nimefanya kuwakumbusha tuuuuHuna tofauti na msabato anaeongelewa hapa
Kwakila aloona ujumbe wangu tayari nishatoka kwenye dhimma
Kwahio hayo mengine tena juu yako (yenu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante ila nimefanya kuwakumbusha tuuuuHuna tofauti na msabato anaeongelewa hapa
Sawa mie nimekumbusha tuhao mabikra pambanien wenyewe wengine tunautafuta ufalme wa Mungu
Kumbe walikuwaga wasabato,nilijua kuwa walikuwa walokoleWatoto watiifu wa Ellen G White. Nikikumbuka enzi zile za wale Wasabato Masalia walioweka kambi kwenye uwanja wa ndege wa JNIA, huwa nabaki tu kucheka mwenyewe.
sio kweliUkifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
Wasabato wezee wa makambiWakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi...
Dini ni nini mkuu?
Sawa mie nimewakumbusha tu tumeitwa umma bora kwakuamrishana mema na kukatazana mabaya
Mie nishamaliza jukumu langu musiabudie masanamu mutapotea vibaya
kijana wa hovyo kabisa, unarithi hata mila ambazo ni za kifedhuri...!!😀😀😀 Pole mkuu mie unanionea bure tu lakini pamoja na huyo babu yangu
Kwani sisi ndio tulowaita makafiri sisi tumenukuu...
Ukifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
shenziUkifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
friend omba Mungu akausaidie ufahau haswa wa neno lake.. kunena kwa lugha paul ameenda vyema zaidi..Watakuwa wamekugusa hasa kwenye Kunena KWA lugha,,, shokoro mogoro dooooo,shokoro magoroooo,
Hahah msamehe jirani yako msabato.. lakini ndio u waunganishe wote.. though mimi sio msabatoHakuna watu wanafiki kama wasabato kwanza wanajifanyaga watakatifu ila wachoyo balaa wanaroho mbaya.
Kuna jirani yangu ni msabato kipindi najenga alininyima maji wakati nimehamia tena akaninyima maji ya kunywa kulikuwa na kisima kwake da nikavuta maji fasta japo kipindi navuta maji aligoma nisipitishe kwenye mpaka wake.
Wakati yeye kipindi anavuta umeme aliniomba apitishe waya katikati ya kiwanja changu kwa makubaliano kuwa atahamisha kabla sijahamia sasa nikahamia nikawa namsikilizia kama atatoa ila miezi mitatu hajatoa nikamfata kumueleza akaanza siasa muda huo waya umesha kaa zaidi ya mwaka wakati ananiomba alisema mwezi mmoja tu atatoa.
Bado hujazungumzia afyaHACHA uongo, utaelewaje mahubiri ya mwaposa, husielewe mahubiri yaliopangiliwa!!!!
Mahubiri ya kisabato ni mafundisho ya Biblia sio story...
Shokolo mageni, folokolololkolomolo, mshoshishishi,ooooh,shokoromagorofriend omba Mungu akausaidie ufahau haswa wa neno lake.. kunena kwa lugha paul ameenda vyema zaidi..
OkayShokolo mageni, folokolololkolomolo, mshoshishishi,ooooh,shokoromagoro
Hii ndio lugha ya mbinguni, imeandikwa kitabu gani, Yesu alinena KWA lugha
Wewe si yeyote na wala neno lako sio sheriaAhsante ila nimefanya kuwakumbusha tuuuu
Kwakila aloona ujumbe wangu tayari nishatoka kwenye dhimma
Kwahio hayo mengine tena juu yako (yenu)