Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

Watoto watiifu wa Ellen G White. Nikikumbuka enzi zile za wale Wasabato Masalia walioweka kambi kwenye uwanja wa ndege wa JNIA, huwa nabaki tu kucheka mwenyewe.
Kumbe walikuwaga wasabato,nilijua kuwa walikuwa walokole

Kuna mjinga mmoja aliwaamisha kuwa wanaweza safir bila nauli na visa
 
Mshukuru sana MUNGU kwa kukupa neema ya kuyasikia hayo,vitabu vya daniel na ufunuo vimebeba hatima ya mambo yaliyombele yetu ambayo ni lazima yatatokea iwe unataka au iwe hautaki.so jikite kwenye kusoma maandiko zaidi utaelewa coz hakuna kilichofichwa yote yamewekwa dhahiri
 
Lile jiwe jeusi mnaloenda kuliabudu uarabuni nalo si ni sanamu lile
Sawa mie nimewakumbusha tu tumeitwa umma bora kwakuamrishana mema na kukatazana mabaya

Mie nishamaliza jukumu langu musiabudie masanamu mutapotea vibaya
 
😀😀😀 Pole mkuu mie unanionea bure tu lakini pamoja na huyo babu yangu

Kwani sisi ndio tulowaita makafiri sisi tumenukuu...
kijana wa hovyo kabisa, unarithi hata mila ambazo ni za kifedhuri...!!

na wala siumii, sababu kisichokuua hakikupi presha!

Nakazia tena panzi mkubwa wewe...!!
 
Ninyi na hiyo Dini yenu hua mna jiona bora kuliko wengine mattercall kweli nyie
Ukifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa

Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
 
Hakuna watu wanafiki kama wasabato kwanza wanajifanyaga watakatifu ila wachoyo balaa wanaroho mbaya.

Kuna jirani yangu ni msabato kipindi najenga alininyima maji wakati nimehamia tena akaninyima maji ya kunywa kulikuwa na kisima kwake da nikavuta maji fasta japo kipindi navuta maji aligoma nisipitishe kwenye mpaka wake.

Wakati yeye kipindi anavuta umeme aliniomba apitishe waya katikati ya kiwanja changu kwa makubaliano kuwa atahamisha kabla sijahamia sasa nikahamia nikawa namsikilizia kama atatoa ila miezi mitatu hajatoa nikamfata kumueleza akaanza siasa muda huo waya umesha kaa zaidi ya mwaka wakati ananiomba alisema mwezi mmoja tu atatoa.
 
Hahah msamehe jirani yako msabato.. lakini ndio u waunganishe wote.. though mimi sio msabato
 
friend omba Mungu akausaidie ufahau haswa wa neno lake.. kunena kwa lugha paul ameenda vyema zaidi..
Shokolo mageni, folokolololkolomolo, mshoshishishi,ooooh,shokoromagoro
Hii ndio lugha ya mbinguni, imeandikwa kitabu gani, Yesu alinena KWA lugha
 
Usipotunza Sabato huendi mbinguni.
Usipokuwa muislam huendi pepon
Usipookoka kuna ziwa la moto

Ujue dini zinawavuruga mno. Tufute sadaka kwanza tukubaliane namna ya kusali maana huenda ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom