Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Yaani mkuu bora yule anaepost kuliko mtu anaefuatilia maisha ya watu kisha anakuja kulalamika jeifu kama hapendi wanae wapost awachane huko huko tik tok....la hivyo ana mnoko wazee wa kupakazia wanoko noko
Eti mtu simu yake kaamua kupost tik tok jitu linatoka huko linakuja kulalamika jeifu eti kuna wanangu wanapost tik tok sipendi sasa si angewaambie huko huko .kama sio umama ni nini awachane huko huko tik tokUpuuzi wake ni upi?
Kufanya michezo ya kitoto , mfano ukimuona baba yako mzazi anafanya challenges za tik tok je utafurahiUpuuzi wake ni upi?
Huyu si shoga kama huu jamaa aliyepost huu uzi hawana tofauti maana huwa nae kajipa kitengo cha kufuatilia maisha ya wana wakeView attachment 3431138
Hivi kweli mwanaume
Aiseee inasikitishaView attachment 3431138
Hivi kweli mwanaume
Kwani simu yako au babako au unamlipia bando achana na utaira wa kuumia na maisha ya watu hayakuuhusu ...bloody fullKufanya michezo ya kitoto , mfano ukimuona baba yako mzazi anafanya challenges za tik tok je utafurahi
ππHuyu si shoga kama huu jamaa aliyepost huu uzi hawana tofauti maana huwa nae kajipa kitengo cha kufuatilia maisha ya wana wake
Tumia dawa za methadone la sihivyo funza watamaliza ubongo wako huoHuyu si shoga kama huu jamaa aliyepost huu uzi hawana tofauti maana huwa nae kajipa kitengo cha kufuatilia maisha ya wana wake
Kamwe hutokuja kuniona nafanya challeng za namna hiiiAiseee inasikitisha
Dah! Nilishaitoa na kuirudisha, nikaitoa tena, nikaachana nayomwanaume kuwa na iyo app ya tiktok tu
Tayar ni tatizo ilo
ππππ kweli nakwambia sawa wewe uone mwanao kapost kitu afu una umia ndo utaira wa huyu aliyeta uzi huuππ
Upo smart kaka , kudosDah! Nilishaitoa na kuirudisha, nikaitoa tena, nikaachana nayo
Nenda hospitali wakupige pump shahawa zinakumaliza mkund# huoTumia dawa za methadone la sihivyo funza watamaliza ubongo wako huo
Funza hao kichwani , tumia methadone utakuja kunishukuruππππ kweli nakwambia sawa wewe uone mwanao kapost kitu afu una umia ndo utaira wa huyu aliyeta uzi huu
Yaani we chizi umebakiza kuokota makopo tu nakusikitikia , ila wakikuwahi unaweza kupata nafuu ila sio kuponaNenda hospitali wakupige pump shahawa zinakumaliza mkund# huo
Kifaa cha mawasiliano ni chake uwezo wa kuingia huko tiktok ni wa wake wewe inakuhusu ninimwanaume kuwa na iyo app ya tiktok tu
Tayar ni tatizo ilo
Wahi pump hospital wavutee shawaha za wanaume uache umbea wa kujua maisha ya watu wanapost nini hayakuuhusu wewe deal na kutafuta hela tuFunza hao kichwani , tumia methadone utakuja kunishukuru
Hio ni app ya kipuuzi .Kuna nchi zimepiga marufuku hizi app
Kwani viongozi wa dini na watu mbali mbali wanapokemea masuala ya ushoga inawahusu niniKifaa cha mawasiliano ni chake uwezo wa kuingia huko tiktok ni wa wake wewe inakuhusu nini